• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Elimu Sekondari

HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE

IDARA YA ELIMU SEKONDARI

Idara ya elimu sekondari ni miongoni mwa idara zinazounda Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Idara inasimamia jumla ya shule za sekondari 63 ambapo kati ya hizo shule 32 ni za serikali na shule 31 ni zisizo za serikali. Shule za sekondari za serikali zina jumla ya wanafunzi 59,781 ikiwa wavulana ni 28,930 na wasichana ni 30,851. Shule binafsi zina jumla ya wanafunzi 6,270 ikiwa wavulana ni 3,297 na wasichana ni 2973. (Takwimu za elimumsingi, Machi 2021).

Idara ina vitengo viwili ambavyo ni Kitengo cha Taaluma na Kitengo cha Vifaa na Takwimu.

HUDUMA ZITOLEWAZO KATIKA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

  • Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu utoaji na upatikanaji wa elimu ya sekondari
  • Kusimamia miongozo na taratibu kama zilivyoainishwa katika sera ya Elimu ya mwaka 2014
  • Kusimamia na kuendesha mitihani ya kitaifa na mingine inayotambulika kwa mujibu wa sheria
  • Kutatua changamoto za kielimu kwa wazazi, wamiliki wa shule na wadau wengine wa elimu
  • Kusimamia na kuhakikisha upatikanaji wa maslahi ya waimu
  • Kuthibitisha maombi ya uhamisho na maombi ya kukariri darasa kwa wanafunzi wa elimu za sekondari

MIFUMO MBALIMBALI INAYOTUMIKA

Kama kuboresha huduma kwa wananchi na kurahisha utendaji kazi serikali imejikita katika matumizi ya teknolojia ya TEHAMA kwa kubuni mifumo mbali mbali ya kielektroniki ambayo inatumika katika sekta mbalimbali. Idara ya elimu sekondari inatumia mifumo ifuatayo

  • PREMS –huu ni mfumo unaotumika kuhamisha wanafunzi kutoka shule moja kwenda shule nyingine, kutunza kumbukumbu za wanafunzi na kukaririsha darasa endapo mwanafunzi hakuhudhuria masomo kikamilifu kwa muda mrefu kwa sababu zinazotambulika.
  • MADENIMISS- huu ni mfumo unaotumika na watumishi kutuma madeni yao mbalimbali wanayodai kama vile fedha za nauli za likizo, usimamizi wa mitihani, nk. Mfumo huu vilevile huhifadhi kumbukumbu za madeni hayo
  • SELFORM- Mfumo huu unatumika kuingiza machaguo ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne kwa ajili ya A level na vyuo.
  • BEMIS- Huu ni mfumo unaotumika kukusanya, kuhifadhi na kuchakata takwimu za elimu msingi kwa shule zote.
  • SIS- Huu ni mfumo unaotumika kuhifadhi kumbukumbu za walimu na wanafunzi na kunakili mahudhurio ya walimu na wanafunzi.
  • FFARS- Mfumo unaotumika kufanya malipo katika vituo vya kutolea huduma (shule)
  • PLANREP- mfumo wa mpango wa mapato na matumizi pamoja na taarifa za kibajeti
  • UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21
  • UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MWAKA WA FEDHA 2020/2021
  • IDARA YA ELIMU SEKONDARI
  • MRADI ILIYOKAMILIKA KWA MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

NA

KATA

SHULE

MARADI

IDADI YA MADAWATI

IDADI YA VYUMBA VYA MADARASA

CHANZO CHA FEDHA

1

KURASINI
UHAMIAJI
Ujenzi wa vyumba 12 vya madarasa

12

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

2

MBAGALA KUU
MBAGALA KUU
Ujenzi wa vyumba 12 vya madarasa

12

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

3

KIJICHI
KIJICHI
Ujenzi wa vyumba 6 vya madarasa

6

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

4

TOANGOMA
MIKWAMBE
Ujenzi wa vyumba 16 vya madarasa

16

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

5

MIANZINI
CHARAMBE
Ujenzi wa vyumba 6 vya madarasa

6

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

6

CHAMAZI
CHAMAZI
Ujenzi wa vyumba 6 vya madarasa

6

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

7

CHAMAZI
MBANDE
Ujenzi wa vyumba 8 vya madarasa

8

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

8

KURASINI
KURASINI
Ujenzi wa vyumba 7 vya madarasa

7

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

9

TEMEKE
NDALALA
Ujenzi wa vyumba 10 vya madarasa

10

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

10

MIBURANI
TAIFA
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa

2

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

11

KEKO
KEKO
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa

2

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

12

MBAGALA KUU
MBAGALA
Ujenzi wa vyumba 8 vya madarasa

8

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

13

CHARAMBE
NZASA
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa

2

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

14

MTONI
RELINI
Ujenzi wa vyumba 5 vya madarasa

5

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

15

TOANGOMA
MALELA
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa

4

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

16

TOANGOMA
TOANGOMA
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa

4

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

17

TOANGOMA
CHANGANYIKENI
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa

4

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

19

MBAGALA KUU
MBAGALA
Ujenzi wa jengo la ghorofa kwa ajili ya kidato cha tano na sita

1

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

18


SHULE 32 ZA SEKONDARI
Ununuzi na usambazaji wa madawati 12,921 kwenye shule 32 za sekondari

12921

0

MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)
 
 
 
 

12921

115

 




UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MWAKA WA FEDHA 2020/2021 KWA FEDHA ZA RUZUKU






MRADI INAYOENDELEA



NA
KATA 
SHULE
MARADI
IDADI

CHANZO CHA FEDHA



1

TEMEKE
NDALALA
Ujenzi wa vyumba 3 vya maabara za sayansi

3




2

TOANGOMA
MIKWAMBE
Ujenzi wa vyumba 3 vya maabara za sayansi

3




3

KURASINI
UHAMIAJI
Ujenzi wa vyumba 3 vya maabara za sayansi

3




4

MIBURANI
TAIFA
Ujenzi wa vyumba 3 vya maabara za sayansi

3





JUMLA

 

12

















MIRADI INAYOENDELEA KUTEKELEZWA KWA FEDHA ZA EP4R 2020-21

NA
KATA
SHULE
MRADI
IDADI
CHANZO CHA FEDHA
1
AZIMIO
KICHANGA
Ujenzi wa matundu 12 vya vyoo
12
EP4R
2
MIBURANI
TAIFA
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa
2
EP4R
3
YOMBO VITUKA
LUMO
Ujenzi wa matundu 12 ya vyoo
12
EP4R
4
MTONI
RELINI
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa
2
EP4R
5
MIANZINI
CHARAMBE
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa
2
EP4R
 
JUMLA
 
 
30
 

 

MPANGO WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2021/22

NA
MRADI
MWAKA WA UTEKELEZAJI
SHULE

CHANZO CHA FEDHA

1

Ujenzi wa vyumba 145 vya madarasa katika shule 32 za sekondari za Manispaa ya Temeke
2021/22
Shule 32 za sekondari
MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

2

Kulipa mishahara ya walimu 155 wa sayansi walioajiriwa kwa fedha za ndani
2021/22
Shule 32 za sekondari
MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

3

Ujenzi wa matundu 150 ya vyoo vya wanafunzi kwenye shule 32 za sekondari
2021/22
Shule 32 za sekondari
MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

4

Ununuzi wa madawati (kiti na meza) 9,584 kwa shule 32 za sekondari za serikali
2021/2022
Shule 32 za sekondari
MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

5

Ujenzi wa Bweni moja la wanafunzi wa katika shule ya sekondari Mikwambe
2021/22
Mikwambe
MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

 

MIRADI MINGINE INAYOTARAJIWA KUTEKELEZWA

  • MRADI WA SEQUIP
  • SEQUIP (Secondary Education Quality Improvement -SEQUIP)ni mfuko wa kuboresha ubora wa elimu ya sekondari ambao unafadhili miradi mbalimbali yenye lengo la kuboresha miundombinu kwa ajili ya utoaji elimu bora. Kwaka wa fedha 2021/22 mfuko huu unatarajia kutoa jumla ya Tshs 1,746,200,000 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya elimu ya sekondari kama inavyoonekana hapo chini
NA
MRADI

IDADI

CHANZO CHA FEDHA

KIPINDI CHA UTEKELEZAJI

1

Ujenzi wa shule mpya (jengo la ghorofa) na madarasa sita (6) katika eneo la Saku Ilulu lililopo Kata ya Chamazi

7

SEQUIP
2021/22

2

Ujenzi wa madarasa manne (4) kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita katika shule ya sekondari Mikwambe

4

SEQUIP
2021/22

3

Umaliziaji wa ujenzi wa maabara 12 za sayansi katika shule za sekondari Ndalala (3), Uhamiaji (3), Mikwambe (3) na Taifa (3)

12

SEQUIP
2021/22

4

Ujenzi wa maabara 3 za TEHAMA katika shule za sekondari za Kijichi (1), Chamazi (1) na Karibuni (1)

3

SEQUIP
2021/22

5

Ujenzi wa matundu ya vyoo 42 katika shule za sekondari Nzasa (12), Charambe (10), Kijichi (10), na Miburani (10)

42

SEQUIP
2021/22

JUMLA

68



  • MIRADI YA FEDHA ZA EP4R
  • Idara imepanga kutekeleza miradi ya kuboresha miundombinu kwa kutumia fedha za LIPA KULINGANA NA MATOKEO (EDUCATION PAY FOR RESULTS-EP4R). Mchanganuo ufuatao unaonesha shule zitakazonufaika na mradi huu kwa mwaka 2021/2022
NA
MRADI
IDADI
KIPINDI CHA UTEKELEZAJI

1

Ukarabati wa vyumba 6 vya madarasa katika shule ya sekondari Chamazi

6

2021/2022

2

Ukarabati wa vyumba 4 vya madarasa katika shule ya sekondari Charambe

4

2021/2022

3

Ukarabati wa vyumba 6 katika shule ya sekondari Kijichi

6

2021/2022

4

Ukarabati wa vyumba 6 vya madarasa katika shule ya sekondari Kurasini

6

2021/2022

5

Ukarabati wa vyumba 6 vya madawati katika shule ya sekondari Lumo

6

2021/2022

6

Ujenzi wa Ofisi ya walimu Katika shule ya sekondari Mbagala Kuu

1

2021/2022

7

Ununuzi wa samani za ofisi ya walimu kwenye jengo la A level katika shule ya sekondari Mbagala

20

2021/2022

  8

Ukarabati wa vyumba 4 vya madarasa katika shule ya sekondari Mbagala

4

2021/2022

9

Ukamilishwaji wa ujenzi wa matundu manne (4) ya vyoo katika jengo la utawala la shule ya sekondari Saku

4

2021/2022

10

Ukarabati wa vyumba 6 vya madarasa katika shule ya sekondari Toangoma

6

2021/2022

11

Ukarabati wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Wailes

2

2021/2022

JUMLA

65



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TANGAZO

    April 08, 2025
  • TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME

    April 07, 2025
  • KAMPENI YA SOMA NA MITI YATEKELEZWA

    April 04, 2025
  • TEMEKE YAJIDHATITI KUTEKELEZA MIRADI YA MIKUBWA YA MAENDELEO

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke