• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Utoaji wa Vibali vya Ujenzi

IDARA YA UJENZI

VIBALI VYA UJENZI

       1. KIBALI CHA UJENZI

Kilingana na sheria ya ujenzi wa majengo mijini si ruhusa kwa mtu yeyote kujenga au kuanza kujenga jengo bila ya:-

  • Kutuma maombi kwa mamlaka ya mji
  • Kuwasilisha michoro ya jengo na kumbukumbu husika
  • Kupata kibali kwa maandishi kinachoitwa kibali cha ujenzi


      2. KIBALI CHA AWALI (planning consent)

   Inashauriwa kupata kibali cha awali kabla ya kuomba kibali cha ujenzi. Hivyo muendelezaji anatakiwa aandae mchoro wa awali (outline plan)  kwa utaratibu unaotakiwa         ukionesha aina ya ujenzi.


      3. JINSI YA KUWASILISHA MAOMBI YA KIBALI CHA UJENZI

  • Baada ya michoro kukamilika iwasilishwe ikiwa kwenye majalada kwa namna ambayo inaweza kufunguliwa na kusomeka. Michoro hiyo iwasilishwe kwa utaratibu ufuatao:-
  • Seti tatu za michoro ya jengo (Architectural drawing)
  • Seti mbili za michoro ya vyuma (Structural drawings) kwa michoro ya ghorofa.


      4.  MICHORO ILIYOANDALIWA IONYESHE NINI

  • Michoro inayoandaliwa inatakiwa ionyeshe mambo yafuatayo:-
  • Namna jengo litakavyokuwa (plans sections, elevations, foundation and roof plan)
  • Namba na eneo la kiwanja kilipo
  • Jina la mmiliki Ardhi inayohusika
  • Jina la mchoraji, ujuzi na anwani
  • Ukubwa wa jengo kwa mita za mraba
  • Ujazo wa kiwanja ( plot coverage)
  • Uwiano (plot ratio)
  • Matumizi yanayokusudiwa
  • Idadi ya maegesho yatakayokuwepo
  • Umbali wa jengo kutoka kwenye mipaka ya kiwanja(Setback) 


      5. VIAMBATANISHO

  • Fomu za maombi zilizojazwa kwa usahihi
  • Hati ya umiliki kwa kiwanja au barua ya toleo
  • Kumbukumbu nyingine zinazohusu kiwanja hicho kma hati ya mauzo, makabidhiano nk.
  • Nakala za risiti ya kodi ya kiwanja ya sasa
  • Mabadiliko ya matumizi ya ardhi kama muombaji amebadili matumizi ya awali


      6.  HATUA ZINAZOFUATWA KATIKA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA KIBALI

  • Zifuatazo ni hatua zinazofuatwa wakati wa kuchunguza michoro hiyo:-
  • Uhakiki wa mmiliki
  • Kukaguliwa usanifu wa michoro
  • Kukaguliwa kiwanja kinachokusudiwa kuendelezwa
  • Uchunguzi wa matumizi ya jengo na uwiano
  • Uchunguzi wa maofisa wa afya
  • Uchunguzi wa mipango ya uondoaji maji taka

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TANGAZO

    April 08, 2025
  • TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME

    April 07, 2025
  • KAMPENI YA SOMA NA MITI YATEKELEZWA

    April 04, 2025
  • TEMEKE YAJIDHATITI KUTEKELEZA MIRADI YA MIKUBWA YA MAENDELEO

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke