• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Utoaji wa hati na leseni za Makazi

                                                   UTARATIBU WA KUHAMISHA HATI MILIKI/OFFER 


A: MHUSIKA ANATAKIWA AJE NA NYARAKA ZIFUATAZO:

  • MKATABA WA MAUZIANO KOPI 3
  • MKATABA WA UHAMISHO KOPI 3 ( TRANSFER OF A RIGHT OF OCCUPACY) L.F 35
  • MAOMBI YA UHAMISHO KOPI 3 (APPLICATION FOR APPROVAL OF DISPOSITION) L.F 30
  • TAARIFA YA UHAMISHO KOPI 3(NOTIFICATION OF DISPOSITION) L.F 29
  • KIAPO CH AKUENDELEZA KOPI 3 (COMMITMENT BOND)
  • KIAPO CHA  MKE KOPI 3(SPOUSE CONSENT)
  • URAIA KOPI 2(NATIONAL IDENTIFICATION)
  • UPEKUZI WA KAMISHNA (OFFICIAL SEARCH)
  • UTHAMINI (VALUATION REPORT)


 B:  MALIPO YA HALMASHAURI

  • CONSENT FEE 80,000/=
  • NOTIFICATION FEE  40,000/=
  • STAMP DUTY 1%
  • REGISTRATION FEE 1% (mauziano au taarifa ya uthamini)


  C: MALIPO YA TRA

        CAPITAL GAINS TAX 10%

        ANAENDA WIZARA YA ARDHI


 D: UTARATIBU WA KUANDAA LESENI YA MAKAZI

Mmiliki atatakiwa kuwa na:-


1. Fomu ya maombi ya Leseni ya makazi.

2. Kitambulisho cha NIDA


E: NYARAKA MUHIMU KABLA YA UMILIKISHAJI

 

  1. Ramani ya mipangomiji
  2. Ramani ya upimaji
  3. Kitambulisho cha uraia
  4. Mkataba wa mauziano/Leseni ya makazi
  5. Fomu ya uhakiki wa majirani
  6. Fomu ya maombi ya kumilikishwa
  7. Picha 3


F: UTARATIBU WA KUHAMISHA MILKI YA LESENI YA MAKAZI (TRANSFER OF OCCUPIER)

 MHUSIKA ANTAKIWA AJE NA NYARAKA ZIFUATAZO:

  1. Mkataba wa mauziano  nakala 3 (SALES AGREEMENT).
  2. Mkataba wa uhamisho nakala 3 (TRANSFER DEED).
  3. Taarifa ya uhamisho nakala 3 (LAND FORM NO. 29)
  4. Maombi ya uhamisho nakala 3 (LAND FORM NO. 30)
  5. Kiapo cha mwenza (SPOUSE CONSENT)
  6. Taarifa ya mthamini kopi 2 (VALUATION REPORT)

NB:

  1. Mikataba yote izingatie sheria ya Leseni ya Makazi yaani “THE    REGISTRATION OF DOCUMENTS ACT (CAP 117)”.
  2. Baada ya kukagua nyaraka zote na kuthibitika kuwa zipo sahihi mhusika atatakiwa kulipia gharama zifuatazo:-


  •   Ushuru wa serikali (Stamp duty) – 1%
  •    Ada ya maombi (Approval fee) – 80,000/=
  •    Ada ya usajili (Registration fee) – 1%
  •    Ada ya taarifa (Notification fee) – 40,000/=

 

ANATAKIWA KUAMBATANISHA

  1. Risiti ya kodi ya ardhi (CURRENT LAND RENT RECEIPT).
  2. Fomu ya marekebisho kutoka S/Mtaa.
  3. Nakala halisi ya uthibitisho wa uraia wa mnunuzi.

Matangazo

  • TANGAZO: KUFUNGA VITUO VYA DAYCARE January 29, 2023
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA January 06, 2023
  • TANGAZO: KUWASILISHA HESABU (TURNOVER) February 13, 2023
  • TANGAZO: KUWASILISHA HESABU (TURNOVER) February 13, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KILIO CHA KIVUKO KATA YA MIANZINI CHAFIKA MWISH0

    March 25, 2023
  • "TUTAPAMBANA NA KIPINDUPINDU KWA USAFI" MHE. AMOS MAKALLA

    March 25, 2023
  • MTAKUWWA TEMEKE YADHAMIRIA KUDHIBITI VITENDO VYA UKATILI KWA WATOTO

    March 24, 2023
  • WANAHABARI WANA JUKUMU LA KUELIMISHA JAMII KUHUSU UGONJWA WA KIFUA KIKUU-MHE. UZAHILU

    March 24, 2023
  • Angalia zote

Video

RC MAKALLA AONGOZA ZOEZI LA USAFI MBAGALA
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke