Ushirikishwaji
Manispaa ya Temeke inanjia za ushirikishwaji, inayohusisha wadau wa ndani na nje katika mchakato wa kufanya maamuzi.
Manispaa ya Temeke inafanya kazi kama timu ya pamoja ili kuongeza umakini na ufanisi
Rushwa
Epuka rushwa
Epuka upendeleo katika utoaji wa huduma
Uwazi
Kuwa wa kweli, waaminifu, wa haki na thabiti katika shughuli zote.
Kutoa huduma kwa watu kwa uaminifu
Uwajibikaji
Kutumia muda na Nguvu katika kuhakikisha kuwa wananchi/watu wanapata huduma sahihi
Jamii inapaswa kuruhusiwa kufuatilia na kutathmini matokeo ya Halmashauri katika ngazi zote za kata na mitaa
Uaminifu
|
Kuwa wa kweli, waaminifu, wa haki na thabiti katika shughuli zote.
Kutoa huduma kwa watu kwa uaminifu
Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.
Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam
Simu ya Mezani: +255 22-2928132
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz
Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke