Halmashauri ya Manispaa ya Temeke inatekeleza majukumu yake kwa kuweka kipaumbele katika kitengo cha Tehama kama ifuatavyo:
Kitengo cha Tehama (Teknolojia,Habari,Mawasiliano na Uhusiano ni muunganiko wa unit mbili nazo ni :
MAJUKUMU YA KITENGO
SEHEMU YA TEHAMA
SEHEMU YA UHUSIANO
GIS
GIS ni mfumo wa kijiografia unaotunza taarifa mbalimbali zilizopo katika juu ya uso wa ardhi,taarifa hizi huifadhiwa katika kompyuta na baadae matokeo yake hutokea katika ramani kulingana na matumizi husika.
Katika Idara ya Fedha ,mfumo uliweza kutambua wamiliki wa Majengo wanaolipa kodi za majengo na matumizi ya majengo kabla ya kuhamishiwa Mamlaka ya Mapato(TRA)Kwa sasa GIS inaweza kutumika kutambua vyanzo vingine vya mapato.
Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.
Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam
Simu ya Mezani: +255 22-2928132
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz
Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke