• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Utawala na Utumishi
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mazingira na Maji taka
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama na Uhusiano
      • Ugavi na Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Investment profile
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Watumishi
    • Ujasiliamali
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu mbalimbali
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
      • Fomu ya maadili
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo mbalimbali
    • Social economic profile
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Mifumo

Mipango Miji

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imedhamiria ktekeleza majukumu yake kwa kuweka kipaumbele idara ya Mipango Miji.

Idara ya Mipango Miji imegawanyika katika vitengo vinne, ambavyo ni:

  1. Mipango Miji
  2. Uthamini
  3. Upimaji Ramani
  4. Ardhi na
  5. Maliasili.

Yafuatayo ni majukumu ya kila kitengo:-

MAJUKUMU  YA KITENGO CHA MIPANGO MIJI

  1. Kuandaa michoro ya Mipango miji.
  2. Kufanya marekebisho ya michoro ya Mipango miji.
  3. Kupitia vibali vya ujenzi.
  4. Kusimamia uendelezaji wa ardhi kwa mujibu wa Sheria za ardhi.
  5. Kutoa elimu na ushauri kwa wananchi juu ya masuala ya Mipango miji.

MAJUKUMU YA UTHAMINI

  1. Kukadiria kodi ya pango la ardhi kwaajili ya viwanja.
  2. Kukadiria thamani kwa ajili ya kodi ya majengo(mass valuation).
  3. Kukadiria thamani kwa ajili ya uhamisho wa miliki za viwanja.
  4. Kukadiria thamani kwa ajili ya mikopo ya benki.
  5. Ukadiriaji wa thamani kwa ajili ya fidia.

MAJUKUMU YA UPIMAJI NA RAMANI

  1. Kupima viwanja vya matumizi mbalimbali na mashamba.
  2. kupima mipaka ya mitaa.
  3. Kufanya upimaji kwaajili ya ramani ya kihandisi(Topographical surveys,Base maps etc).
  4. kuchora ramani za hati (Deedplan).
  5. kusambaza lama za msingi (Control Extension).
  6. kushirikiana na wathamini katika utambuzi wa mipaka ya ardhi (Land adjudication).

MAJUKUMU YA ARDHI

  1. Kuandaa barua za toleo (Allocation letter)
  2. Kuandaa hati miliki za viwanja.
  3. Kuandaa lesini za makazi.
  4. Kukagua maeneo kabla ya kutoa miliki.
  5. Kusikiliza malalamiko yanayohusu masuala ya milki za ardhi.
  6. Kutoa vibali vya mauziano ya milki za ardhi.
  7. Makusanyo ya kodi.

MAJUKUMU YA MALIASILI

  1. Kusimamia sheria za hifadhi ya maliasili (Misitu na Nyuki).
  2. Kuhamasisha kuunda vikundi vya hifadhi ya maliasili.
  3. Kufanya dori dhidi ya uharibifu wa mazingira.
  4. Kuhifadhi misitu ya asili.
  5. Kupanda miti na maua na kuitunza.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA TEMEKE 2021 January 08, 2021
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA WA MASOMO 2021 December 15, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA TEMEKE MWAKA 2021 December 18, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 16, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI TEMEKE AKABIDHIWA MAGARI NANE (8) YA KUZOLEA TAKA.

    March 03, 2021
  • MAMA SAMIA AWAHAKIKISHIA NEEMA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAKUBWA.

    February 14, 2021
  • DC TEMEKE ATOA SIKU 14 KWA MZABUNI WA VIFAA TIBA KITUO CHA AFYA BUZA

    February 12, 2021
  • DC GONDWE AGEUKA "MBOGO" KWA MKANDARASI DART.

    February 08, 2021
  • Angalia zote

Video

TEMEKE YA VIWANGO
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE - 2019
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tovuti ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke