Bw; Mgaya Mtundu
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Nyuki
Kitengo cha ufugaji nyuki kinajishughulisha na kuhakikisha rasilimali ya ufugaji nyuki inatumiwa vizuri ili kuzalisha mazao ya nyuki.
Rasilimali hiyo ni misitu, mashamba na nyuki wenyewe.
Mazao hayo ni Asali, Nta, Chavua, Sumu ya nyuki, Gundi ya nyuki, Maziwa ya nyuki na Uchavushaji.
MAJUKUMU YA KITENGO
Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.
Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam
Simu ya Mezani: +255 22-2928132
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz
Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke