• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

SHIMISEMITA YAHITIMISHWA, TEMEKE YAIBUKA NA VIKOMBE VITATU NA MEDALI MOJA

Posted on: August 29th, 2025

Mashindano ya SHIMISEMITA 2025 yamehitimishwa rasmi leo Agosti 29, 2025 jijini Tanga kwa Ugawaji wa Medali na Vikombe mbalimbali kwa Washindi ambapo Timu ya Manispaa ya Temeke imekabidhiwa kikombe cha Mshindi wa pili kwenye mchezo wa Basketball (Wanawake), Mshindi wa Tatu mchezo wa kuvuta Kamba (Wanawake), Mshindi wa Tatu mchezo wa Darts (Vishale) na medali ya mshindi wa pili (riadha) kwa watu wenye mahitaji maalum.


Kwa upande wa Kombe la Basketball limekabidhiwa na Ndg. Charles Mazugu, Afisa Michezo mwandamizi kutoka Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na Kaimu Mkurugenzi Jiji la Arusha, Bi. Deborah Ngagaji.


Akizungumza baada ya kukabidhiwa vikombe Mkuu wa kitengo cha Utamaduni Bi. Sauda Salum amesema


“Manispaa ya Temeke tumeshiriki michezo yote kama ilivyo orodheshwa na shirikisho na tumefanikiwa kupata vikombe vitatu na medali moja ya riadha kwa makundi maalum. Niwashukuru Wanamichezo kwa kujitoa kwao na niwapongeze kwa juhudi kubwa waliyo onesha. Tunamuahidi mkurugenzi wa manispaa (Jomaary Satura) kuwa tutaendeleza mapambano na mwakani tutapata ushindi wa jumla”


Timu ya Temeke pia imefanikiwa kushika nafasi ya sita katika mashindano ya Ngoma za asili, nafasi ya 9 kwa upande wa Kwaya (kupitia wimbo maalum), nafasi ya 11 kwa upande wa muziki wa kizazi kipya na hatua ya robo fainali kwa mchezo wa Netball na 16 bora kwa mpira wa miguu.


Wana Temeke tunamshukuru Mungu na tunasema Temeke to the Next Level!

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • JESHI LA AKIBA LAADHIMISHA MIAKA 61 KWA KURUDISHA KWA JAMII

    September 01, 2025
  • WALIMU 500 WAPATIWA MAFUNZO JUU YA UKUSANYAJI WA TAARIFA ZA MAJENGO

    August 29, 2025
  • WAKURUGENZI WAAGIZWA KUWEZESHA WANAMICHEZO

    August 29, 2025
  • SHIMISEMITA YAHITIMISHWA, TEMEKE YAIBUKA NA VIKOMBE VITATU NA MEDALI MOJA

    August 29, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke