• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"AFYA NA MAZINGIRA VINAENDA SAMBAMBA" DC JOKATE

Posted on: June 5th, 2022

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegeleo kwa niaba ya mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla leo Juni 05,2022 ameongoza maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani na ufunguzi wa kampeni ya afya "AFYA CHECK DAR ES SALAAM", yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Zakheim-Mbagala.

Katika madhimisho hayo Mhe. Jokate ameungana na viongozi wa kisiasa na Serikali kutoka wilaya zote za mkoa wa Dar es Salaam, Wadau wa Mazingira, Wadau wa Afya , Wanafunzi na Wananchi na kutoa wito kwa Watanzania wote hususani wakazi wa Temeke na Dar es Salaam kwa ujumla kuenzi siku na kauli mbiu ya mazingira kwa vitendo. Alisema

"Tanzania ni moja tu , tafsiri nyepesi ni kwamba hatuna Tanzania nyingine, kila mmoja wetu ana wajibu wa kutunza mazingira ili yaitunze nchi yetu, isiwe tu sherehe iwe tukio muhimu linalotukumbusha umuhimu wa kuhifadhi na kutunza mazingira.

Wadau tukatoe elimu ya matumizi ya nishati mbadala, upandaji miti na tuiishi kampeni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa (Safisha, Pendezesha Dar es Salaam) tusitupe taka kwenye mitaro, tunafahamu kazi ya mitaro , lakini kwa bahati mbaya imegeuzwa kuwa 'dampo' ikijaa takataka sio tu maeneo yatakua machafu, mvua ikinyesha maji yanaenda kujaa majumbani kwetu"

Akizungumzia kampeni ya 'Afya Check " mkuu wa Wilaya alisema suala la mazingira linaenda sambamba na suala la afya hivyo tuyatunze mazingira kwa afya zetu.

"Huwezi kuzungumzia afya bila kuzungumzia mazingira vivyo hivyo mazingira bila kuzungumzia afya, kithibitisho ni wakati wa mlipuko wa UVIKO 19 ,tuliongeza umakini, tulikua tunanawa sana mikono, tunajali afya zetu na za wenzetu,ile imesaidia sana kupunguza magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu, leo watu watapima bure magonjwa mbalimbali.

Niwashukuru sana 'Clouds Media group' kupitia mwakilishi Daktari Isaac Maro, kwa kutuletea jambo hili la msingi Temeke na Dar es Salaam kwa ujumla" Alisisitiza Mhe. Jokate.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke