• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

BILIONI 15 KUTENGENEZA BARABARA KATA YA TOANGOMA

Posted on: August 24th, 2024

Na: Joanita Joseph -TMC Habari


Takribani Bilioni 15 zinatarajiwa kutumika katika matengenezo ya Barabara katika kata ya Tuangoma, Manispaa ya Temeke katika Mwaka huu wa fedha 2024/2025.


Hayo yamebainishwa na Mhandisi Masatu Ndango kutoka Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Temeke akieleza Mpango wa Serikali wa matengenezo ya Barabara katika kata ya Tuangoma, Wilayani Temeke.


Mhandisi Masatu ameyasema hayo katika Mkutano wa Hadhara wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sixtus Mapunda wakati alipokuwa akijibia kero za Wananchi katika Miundombinu korofi ya Barabara katika kata ya Tuangoma.


Mhandisi Masatu amesema kuwa


"Bilioni 15 zinatarajiwa kutengeneza barabara hapa Tuangoma ambapo kati ya hizo Bilioni 14 zinatoka katika mpango wa mradi DMDP utakaotengeneza barabara za Masaki, Masuriza na barabara ya kilimahewa tuangoma. Na Bilioni Moja Kupitia vyanzo vya TARURA ambapo tutatengeneza toangoma center, mzinga Tasaf kiwango cha zege, malela B, ambazo nazo zimeshatangazwa tunatarajia kuanza kazi mapema hivi karibuni" alisema Mhandisi Masatu


Mhandisi aliongeza kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke inatenga asilimia 10% fedha kutoka katika mapato yake ya ndani kila Mwaka kwa ajili ya matengenezo ya Barabara ambapo kupitia fedha hizo zitanufaisha pia kata ya Tuangoma.


"Kupitia fedha za mapato ya ndani zaidi ya milioni 500 tunakusudia kuzileta kwenye kata hii kwa sababu kuna changamoto nyingi, lakini pia tumekubaliana kwenye fedha za manispaa pamoja na chamgamoto za miundombinu kuwa nyingi ila tutahakikisha tutakuwa na matengenezo ya kilomita 5 za barabara kwa kila kata" aliongeza Mhandisi Masatu.


TARURA ni wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini ambayo jukumu lake kubwa ni kusimamia ujenzi, ukarabati na matengenezo ya mtandao wa Barabara za Wilaya. Ambapo katika Utekelezaji wa kazi zake kupitia fedha za nje inatarajia kufanya Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa jiji la Dar es salaam (DMDP) utakaoanza hivi karibuni katika Manispaa ya Temeke.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke