• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

CHAMANZI WACHANGIA DAMU KATIKA SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE

Posted on: October 14th, 2025

WAKAZI WA CHAMAZI WAMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUCHANGIA DAMU NA KUKUMBUSHANA KUJITOKEZA KUPIGA KURA IFIKAPO OKTOBA 29.

Leo Oktoba 14, 2025 ikiwa ni Kumbukizi ya Miaka 26 ya Kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere Wakazi wa Temeke hususani Jimbo la Chamazi wametumia siku hii kushiriki katika Michezo mbalimbali pamoja na Zoezi la Uchangiaji damu ikiwa ni sehemu ya kukumbushana kuendelea kuenzi na kuthamini Mchango wa Baba wa Taifa kwa Vitendo pamoja na Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ifikapo Oktoba 29, 2025.

Katika Shughuli hiyo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Manispaa ya Temeke Ndg. Yahya Madenge ametumia wakati huo kuwaasa Vijana na Watanzania wote kujitokeza kwa wingi ifikapo Oktoba 29, 2025 Siku ya Uchaguzi Mkuu kupiga Kura na kuzingatia Taratibu, Kanuni na Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwemo kujiepusha na matendo ya kuchochea vurugu na kuharibu amani ya Nchi yetu.


"Huu ni Uchaguzi wa Amani na tunategemea kila aliyejiandikisha katika kupiga Kura atajitokeza kwa ajili ya kwenda kupiga Kura" alisema Ndg. Madenge


Aidha Mwakilishi wa Tume huru ya Uchaguzi Bi. Mbiliasia Mosha ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere Kigamboni ametoa elimu ya Mpiga Kura ikiwemo Muda wa kufungua na kufunga Vituo vya Kupiga Kura, mambo ya kufanya wanapofika katika Kituo cha kupiga Kura lakini pia kuhakiki Majina yao katika Vituo walivyojiandikisha siku 8 kabla ya kupiga kura ili waweze kutambua vituo vyao na kujua majina yao yalipo.


Tukio hilo limefanyika katika Ofisi ya Kata Chamazi Manispaa ya Temeke likitanguliwa na Mbio za Pole (Jogging) Alfajiri ya leo

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAWAKILISHI KUTOKA WORLD BANK NA TIMU YA UTEKELEZAJI YA MRADI WA DMDP II WAFANYA MKUTANO WA PAMOJA

    November 25, 2025
  • KAMATI YA LISHE WILAYA YAKETI KIKAO CHA ROBO YA KWANZA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    November 25, 2025
  • CRDB BANK YAKABIDHI MADAWATI SET 30 SHULE YA SEKONDARI DOVYA

    November 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI KWA KUTEULIWA NA KUTHIBITISHWA KUWA WAZIRI MKUU MH. MWIGULU NCHEMBA

    November 14, 2025
  • Angalia zote

Video

TEMEKE YAWEZEKEZA BILIONI 35 SEKTA YA ELIMU PEKEE MWAKA WA FEDHA 2025/26
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke