• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

DC JOKATE AAGIZA VIONGOZI KUWALINDA WATUMISHI WANAOFICHUA MAOVU.

Posted on: February 10th, 2022

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo ameongoza kikao cha kupokea taarifa juu ya mwenendo wa mikopo ya asilimia kumi kwa wanawake,vijana na walemavu ili kutambua na kuzifanyia kazi changamoto zinazokabili mikopo hiyo katika Halmashauri.

Akizungumza katika kikal hicho kilichofanyika Februari 9,2022 katika ukumbi wa Idd Nyundo uliopo ndani ya Halmashauri ya Temeke,Mhe. Jokate  ametoa agizo kwa viongozi wa manispaa ya Temeke kuwalinda watumishi wanaosimamia haki katika utekelezaji wao na kufichua vitendo viovu.

"Ni lazima tuwasaidie na kuwalinda hawa  watumishi wanaoleta  maendeleo na kufichua vitendo ambavyo sio sahihi huku wakisimama kwenye misingi ya haki" alisema Mkuu wa Wilaya

Mheshimiwa Jokate Mwegelo amesema wao kama viongozi wamekula kiapo cha kuwatumikia wananchi na watumishi  hivyo ni vyema kuwa na utu katika utekelezaji wa majukumu yao huku akiwataka viongozi waheshimiane kwa dhamana walizopewa ili kuendeleza Manispaa na Taifa kwa ujumla.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya temeke Ndugu Elihuruma Mabelya ametoa rai kwa viongozi na wananchi kuwa waadilifu kwenye mikopo hiyo kuanzia ngazi ya kata mpaka Halmashauri huku akiwataka wanufaika wa mikopo hiyo kurejesha kwa wakati ili kuwapatia wengine wenye uhitaji wa mikopo inayopelekea  kupunguza umaskini kwa wananchi na hasa wakazi wa Temeke.

Mhe. Abdallah Mtinika, ambaye ni Mstahiki Meya wa halmashauri ya manispaa ya Temeke ametoa pongezi zake kwa  watendaji na Mkurugenzi kwa kukamilisha shughuli za maendeleo ikiwemo ujenzi wa madarasa katika manispaa ya temeke na kuwataka viongozi waelewe kuwa changamoto ni sehemu ya kazi hivyo wajitahidi kupambana nazo ili kuendelea kuitangaza halmashauri ya manispaa ya temeke.

Mikopo hii inayotolewa na Halmashauri ya wilaya ya Temeke imekuwa mkombozi mkubwa kwa makundi ya vijana,wanawake na watu wenye ulemavu huku na ni wajibu wa makundi hayo kuzitumia kwa lengo lililokusudiwa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke