• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

DC MAPUNDA ATETA NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI, ATOA MAAGIZO

Posted on: January 13th, 2024

Na: Joanita Joseph-TMC Habari


Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Sixtus Mapunda leo Januari 13, 2024 amekutana na wakuu wa shule za sekondari wilayani hapa lengo likiwa ni kufanya tathmini ya matokeo ya mitihani ya kidato cha pili iliyofanyika mnamo Oktoba 2023, pamoja na kuweka mikakati juu ya upandishaji wa kiwango cha ufaulu katika mitihani ya kidato cha nne.


Mhe.Mapunda amewataka kuongeza uwajibikaji na kusimamia kikamilifu masuala ya kitaaluma kwa wanafunzi ili kuhakikisha wanafaulu kwa hali yoyote ile.

" mimi siko tayari kuwa sehemu ya watengeneza zero, Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametupa 7 Bilioni sekta ya elimu sekondari nina imani hatarajii zero! Temeke tuna facility nyingi, tuna nafasi kubwa ya kufaulu lakini lazima tuweke dhamira ya dhati". Alisema Mhe. Mapunda


DC Mapunda ametoa siku 7 kwa wasimamizi hao kujitathmini na kuja na mkakati utakaosaidia kuongeza ufaulu katika daraja la kwanza hadi la tatu na kupunguza wingi wa daraja la nne na sifuri (zero) katika mitihani ya kidato cha nne.


"Ninyi ndio moyo na roho ya elimu, nimewaita tujitathmini na tuazimie. Nawapa siku 7 kuanzia leo kila mmoja uje na solution kwa mazingira yako unapinduaje meza kubadilisha matokeo na tuweke mkakati wa wilaya" alisema Mhe.Mapunda.


Kwa upande wake Afisa elimu sekondari Manispaa ya Temeke Dkt. Janeth Barongo amesema amepokea maagizo hayo huku akiahidi kukamilisha zoezi hilo kwa haraka ili kupata mkakati utakaosaidia kuinua sekta ya elimu katika kuondokana na kupata daraja la nne na zero kwa manispaa ya Temeke.


Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Idd Nyundo, Temeke kimehudhuriwa na Mkurugenzi wa manispaa Ndg. Elihuruma Mabelya, waratibu elimu wa kata zote 23 Temeke, Afisa elimu Sekondari Manispaa ya Temeke pamoja na wadhibiti ubora.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke