• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

DKT. JANABI AFIKA HOSPITALI YA MBAGALA RANGITATU ASISITIZA MTINDO BORA WA MAISHA

Posted on: November 30th, 2024

Na: Joanita Joseph, TMC Habari


Ikiwa ni siku ya tatu tangu Hospitali ya Muhimbili kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ianze kutoa huduma za Ubingwa Bobezi za Uchunguzi na Upasuaji wa macho kupitia tundu dogo bila Malipo kwa Wakazi wa Temeke kupitia Hospitali ya Mbagala Rangitatu leo Novemba 29, 2024 Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Prof. Dkt. Mohamed Yakub Janabi amefika hospitalini hapo kuona huduma zinazotolewa.


Akizungumza na Wananchi waliofika hospitalini hapo kupatiwa huduma, Dkt. Janabi amesisitiza upimaji afya na kuishi mtindo bora wa maisha.


"kila mmoja ajiulize wangapi kati yenu mmekunywa maji lita 1 au 2 kwa siku, mmeweza kutembea hatua elfu 10, mmeweza kula mboga za majani katika kila mlo, mmeweza kulala masaa sita mpaka nane kila siku? Kama hayo hamkuyafata mnategemea kuwa na afya gani? Afya ni matayarisho, muda wa kutayarisha afya ni sasa, badili maisha yako sasa hivi. Mimi kila siku ninaomba Mungu nikiwa na miaka 80 niweze kufanya vitu ambavyo nilikuwa naweza kufanya nikiwa na miaka 60"


Aidha Dkt. Janabi ameishukuru Serikali kwa kuendelea kuwekeza katika Sekta ya Afya na Hospitali ya Muhimbili itaendelea kuunga mkono juhudi hizo.

"Wagonjwa 102 tutawachukua kuwapeleka Muhimbili kwa ajili ya upasuaji, mwakani tutaleta kliniki ya masikio, koo na pua lakini pia tutakuja kufanya kliniki ya wababa tezi dume na niwatoe hofu hatutatumia kipimo kilee...tutapima kwa kutumia damu tu"


Dkt. Janabi amezungumza pia na Uongozi wa Hospitali ya Mbagala na kuwapa Mbinu za kiubunifu zitakazosaidia kuongezeka kwa ukusanyaji wa Mapato katika hospitali hiyo.


Kwa upande wake Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mbagala Rangi tatu Dr. Mussa Makori ameishukuru Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuwezesha zoezi hilo ambapo Wananchi takribani 445 wameweza kufanyiwa uchunguzi.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke