• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"Gala lolote lenye kemikali lisajiliwe na lifahamike" DC GONDWE.

Posted on: December 14th, 2020

Mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Godwin Gondwe ametoa agizo kwa wamiliki wote wa maghala ya kutunzia kemikali Wilayani humo kuhakikisha yanatambulika kisheria kwa kusajiliwa.

Mhe. Gondwe ameyasema hayo wakati akifanya ukaguzi kwenye ghala la kuhifadhia kemikali la kiwanda cha SEIF IMPEX LTD maeneo ya Kisewe, Mbagala jijini Dar es salaam.

Katika ziara hiyo aliyoambatana na Maafisa kutoka taasisi mbalimbali za Serikali kama Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira(NEMC),Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali pamoja na Shirika la Viwango Tanzania(TBS),Mhe. Gondwe amesema kamwe hatovumilia kuona wananchi wa Temeke wanapoteza maisha kwa uzembe wa baadhi ya watu.

"Tunaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji Nchini, na wakati huohuo kulinda afya za Watanzania"Amesema mkuu huyo wa Wilaya.Kwa upande wake meneja wa Kanda ya Mashariki kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw. Gerald Meliyo amebainisha kuwa katika uchunguzi walioufanya wamegundua kuwa ghala hilo halikusajiliwa kisheria na hata uhifadhi wa kemikali katika ghala hilo haukuwa sahihi.''Wanasema kansa imeongezeka Nchini, kumbe kuna watu wasio waaminifu ambao huzirudisha kemikali ambazo zimeisha muda wake kwenye matumizi ya kawaida kwa Wananchi"Ameongeza Mkemia huyo.

Mwanasheria kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu Bw.  Abeid Kafunda amesema sheria zipo wazi na kwa makosa ambayo wameyabaini kwenye ghala hilo,ambapo faini yake inaweza kufikia kiasi cha milioni sitini.Mara baada ya ukaguzi huo mkuu wa Wilaya alitoa maagizo ya kukamatwa kwa wahusika wa ghala hilo na kuwekwa chini ya ulinzi kwa saa 48 na kufungwa kwa ghala hilo mpaka hapo taratibu nyingine za kisheria zitakapokamilika.



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke