• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke yatoa elimu ya Afya ya uzazi kwa waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Posted on: June 14th, 2019

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke yatoa elimu ya Afya ya uzazi kwa waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari vya Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwataka kupaza sauti katika taarifa zao na kuhakikisha  zinaifikia jamii hususani vijana, ikiwataka waaache kujamiana katika umri mdogo ili wasipate mimba kabla ya wakati.

Hayo yalisemwa na Mkufunzi wa kitaifa wa masuala ya afya ya uzazi kwa vijana Dr.Zuhura Majapa wakati  wa semina hiyo yaliyoandaliwa na Manispaa ya Temeke na kufanyika ukumbi uliopo katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam, Dr.Zuhura alibainisha kwamba vijana wengi hawana elimu juu ya masuala ya afya ya uzazi na hivyo kusababisha changamoto ya kuanza mahusiano katika umri mdogo hatimae kupelekea matatizo katika via vya uzazi.

“Tumeona  hali halisi katika nchi yetu ya Tanzania vijana ni wengi katika jamii karibu asilimia 65 ni vijana wa umri chini ya miaka 24 na wanakabiliwa na changamoto nyingi za balehe  hivyo inabidi kuwasaidia kwa kuwapatia elimu stahiki ili kuwakomboa kifikra kuhusu masuala ya afya ya uzazi”Alisema

Dr.Zuhura alibainisha zaidi kwamba vijana wengi wanafanya ngono isiyo salama na wengine wa kike kupata mimba zisizotarajiwa hivyo kuongeza mzigo kwa Taifa kwa kusababisha watoto kulea watoto wenzao na  ongezeko la watoto wasio na makazi maalum.

Nae Dr. Ford Kisongela  Mratibu wa huduma za Afya kwa vijana kwa Manispaa ya Temeke alisema elimu ya afya ya uzazi kwa vijana inatolewa  ili kuwaelimisha vijana na kuwakomboa katika janga la magonjwa hasa  katika umri mdogo, na kubainisha zaidi kwamba elimu hii ni endelevu na  hutolewa bure kabisa katika vituo vyote vya afya vya Manispaa ya Temeke.

“Vijana wengi wanaingia katika umri wa balehe wakiwa hawana taarifa ya namna ya kujikinga kiafya ,lakini wakipata elimu  wanaweza kujilinda na kuvuka salama katika umri huo na kuwaepeusha kupata mimba zisizotarajiwa , VVU sambamba na kuingia katika utu uzima wakiwa tayari wanamatatizo katika afya zao”.Alisema Dr.Ford.

Kampeni ya elimu juu ya masuala ya afya ya uzazi ni endelevu ili kuwafikia vijana wengi wasio na ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya uzazi na namna ya kujilinda ili kuwa naTaifa lenye kizazi kinachojitambua.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke