• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

JAI YAONGOZA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU TEMEKE

Posted on: August 8th, 2025

Leo Agosti 8,2025 taasisi ya JAI (Jumuiyatul Akhlaaqil Islamiya) imeadhimisha Wiki ya Taasisi kwa kuendesha zoezi la uchangiaji damu kwa hiari pamoja na vipimo kwa magonjwa yasiyoambukiza tukio lililofanyika katika viwanja vya Zakhem-Mbagala na kuongozwa na Katibu Mkuu wa JAI Taifa, Ndugu Saad Ahmed Salim.


Hafla hiyo imehudhuriwa na wadau mbalimbali wa afya ikiwemo watumishi wa afya kutoka Damu salama na watumishi wa afya manispaa ya Temeke huku mgeni rasmi akiwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Dkt. Jonas Lulandala kwa niaba ya mkurugenzi wa manispaa Jomaary Satura.


Akizungumza katika hafla hiyo Dkt. Lulandala ameipongeza JAI kwa jitihada kubwa wanazozifanya kushirikiana na Serikali kuwahudumia wananchi. Alisema


“Tunawashukuru sana JAI kwa kushirikiana nasi kuwasaidia Wananchi. Mmekuwa nasi kwa nyakati nyingi sana, katika huduma za ibada kwa wagonjwa, utoaji wa chakula, na hata huduma za maziko kwa wale wasio na ndugu. Serikali itaendelea kuwaunga mkono katika hayo”.


Aidha, Dkt. Lulandala amewahamasisha Wananchi wa Temeke kuendelea kuchangia damu akisisitiza kuwa hakuna kiwanda kinachozalisha damu, hivyo ni jukumu la kila mmoja kutunza afya ili aweze kuchangia damu salama kwa ajili ya kuokoa maisha ya wengine.


JAI ni taasisi ya kidini inayojihusisha na huduma za kijamii hasa katika sekta ya afya kwa moyo wa kujitolea na mshikamano wa kijamii.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA MANISPAA YA TEMEKE WAFANYA UTALII WA NDANI MBUGA YA MIKUMI

    August 09, 2025
  • JAI YAONGOZA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU TEMEKE

    August 08, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPATA TUZO MSHINDI WA TATU MKOA WA DSM

    August 08, 2025
  • MD SATURA ATEMBELEA BANDA LA MANISPAA TEMEKE, MAONESHO YA NANENANE-MOROGORO

    August 08, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke