• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

JUMUIYA YA JESHI LA AKIBA TEMEKE YAZINDULIWA

Posted on: June 14th, 2022

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo akiambatana na kamati ya ulinzi na usalama  amezindua Jumuiya ya jeshi la akiba Temeke ijulikanayo kama (JELAATE) leo Juni 14, 2022 katika eneo la Mwembe Yanga lililopo Temeke Dar es salaam.

Jumuiya hiyo yenye jumla ya Wanachama 150, inajumuisha wahitimu wa mafunzo ya mgambo wa kuanzia mwaka 1998 mpaka hivi sasa ,imeanzishwa kwa madhumuni ya kuanzisha kampuni ya ulinzi itayowasaidia wahitimu  hao wa mafunzo ya Mgambo kujiajiri na kuajiriwa katika makampuni ili waweze kujikwamua kiuchumi na kujiendeleza kupitia miradi mbali mbali ya uzalishaji mali ikiwemo ujenzi, ulinzi, ufugaji, bustani za mboga mboga pamoja na kushiriki katika shuhuli za Serikali.

Akizungumza mara baada ya uzinduzi huo Mhe. Jokate amewapongeza vijana hao kwa kujenga historia ambayo amesisitiza lazima ilindwe huku akiahidi kuwasaidia ili waweze kuyafikia malengo yao.

Katika hatua nyingine mkuu huyo wa wilaya amewaasa vijana hao kujipanga na kushirikiana kwa pamoja, huku akisema kuwa daraja la jeshi la akiba katika Jamii ni la juu sana kwa sababu wamejengwa katika uzalendo uliotukuka, nidhamu, uvumilivu na weledi wa kufanya kazi kwa bidii na kujitoa.

"Sisi ndio walezi wenu ,hatuwezi kuwaacha kwa sababu mmetengeneza historia mpya na mtafika mbali mkiendelea na roho hii, tutaongea na watu wa BRELA wawasaidie kukamilisha usajili wenu na kuwashauri namna kuendesha kampuni, kwani uaminifu, uzalendo wenu kwetu sisi ni mkubwa zaidi.Tuko tayari kuwasaidia,naamini mkiendelea na hii 'spirit' mtafika mbali". Alisema Mhe. Jokate

Sambamba na hayo Mhe. Jokate amewataka kuwa wamoja na kuacha kuvurugana, kugombana mara baada ya kuanza kupata mafanikio kwa sababu ya kuanzisha migogoro, fitina, umbea na majungu, vitu ambavyo havina maslahi ya maendeleo katika Jumuiya hiyo.

"Sisi tupo na nyinyi bega kwa bega mpaka mtapoyafikia malengo yenu,kwa sababu ninyi ni zao la ofisi ya mkuu wa Wilaya,mafanikio yenu ndio mafanikio yetu, hivyo mkituhakikishia kuwa hamtakuwa na migogoro sisi tutawabeba na tupo tayari kuwapa ushirikiano mkubwa ili muweze kusimama imara". Aliongeza Mhe. Jokate.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke