• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE (TAMISEMI) YAFIKA TEMEKE, YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: November 11th, 2024

Leo Novemba 10, 2024 Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imefanya ziara katika Manispaa ya Temeke kwa lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Manispaa hii ikiwa ni muendelezo wa ziara yao ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kwa Mkoa wa Dar es salaam.


Akizungumza katika ziara hiyo Mhe. Justin Lazaro Nyamoga, Mbunge wa Jimbo la Kilolo amewapongeza Manispaa ya Temeke juu ya kazi kubwa waliyoifanya kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo.


‘’Miradi tuliotembelea hapa Temeke kwa kweli ni mizuri na tunawapongeza sana tena sana kwa kazi kubwa mliyoifanya tumeona kwa jinsi gani pesa za ndani na nje zimetumika kwa ustadi wa hali ya juu, rai yetu sisi kama kamati endelezeni kwa miradi mingine’’. Alisema Mhe. Justin Lazaro.

Mhe. Nyamoga ameongeza kuwa ni vema kuweka ulinzi wa kuhifadhi mazingira katika maeneo ambayo yapo wazi na kukarabati kwa ubunifu ili yaweze kuleta manufaa kwa wananchi na Manispaa kwa ujumla.


‘’Tunashauri lile eneo la chang’ombe katika mradi huu wa (DMDP) muweze kuona ni kwa namna gani munaweza kutengeneza kitu cha ubunifu ambao utaleta faida ndani manispaa na mkoa wa Dar-es-salaam’’.Alisema Mhe. Nyamoga


Aidha Mhe.Dorothy Kilave Mbunge wa Jimbo la Temeke alipata nafasi ya kuzungumza mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge,Pamoja na viongozi mbalimbali amewashukuru kwa kurudhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo na kuahidi wataendeleza muendelezo mzuri kushirikiana na Mstahiki Meya,Madiwani,Mkuruenzi Pamoja na Menejimenti kwa ujumla.


Kwa upande wake Ndg. Jomaary Satura Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke amesema katika Mradi wa uendelezaji wa Jiji Wa Dar es salaam Awamu ya pili DMDP phase 2 )Temeke inakuwa safi kwa kutenga bajeti kwa ajili ya utengenezaji madampo makubwa matatu na kutekeleza miradi mingine.


Miongoni mwa miradi iliyotembelewa leo ni pamoja na ujenzi wa Ghorofa 6 Hospitali ya Mbagala rangi tatu, ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Mangaya, Mbagala, Pamoja na bweni na bwalo shule ya Sekondari Kibasila.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke