• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Kamati za Mazingira Mkoa wa Dar es Salaam Zakutana Kujadili Changamoto za Kimazingira.

Posted on: March 30th, 2021

Wajumbe wa kamati za mazingira kutoka Manispaa zote za mkoa wa Dar es Salaam Wakiwasilisha taarifa za maeneo waliyotembelea.

Baada ya asasi isiyo ya kiserikali ya Lawyers Environment Action Team(LEAT) na kamati za mazingira za wilaya,kufanya ziara katika wilaya zote za mkoa wa Dar es Salaam ,kamati hizo zimekutana pamoja  Machi 12,2021 katika ukumbi wa hoteli ya 'Rombo Green View'huku waandaaji wa mkutano wakiwa ni LEAT.


Katika mkutano huo kila wilaya iliwasilisha taarifa ya ziara yake,ambapo taarifa hizo zilibainisha changamoto za kimazingira walizokutana nazo katika maeneo waliyotembelea, hatua zilizochukuliwa katika kuzitatua,na  mapendekezo yake juu ya namna bora ya kuondoa changamoto hizo.

Baada ya taarifa hizo kuwasilishwa,Afisa wa LEAT wakili Baraka Thomas,alikiri kuridhishwa na namna taarifa za kamati hizo zilivyowasilisha taarifa zake,ambapo zimeonyesha changamoto,na namna ambavyo Manispaa zinapambana kuzitatua.

"Mmefanya kazi nzuri,mmeonyesha kazi zilizofanyika baada ya ziara,vile vile mmeonyesha jinsi jamii ilivyoshirikishwa.Hilo ni jambo muhimu sana.Kwamba  tunapokutana hapa,hatuishii kukutana tu,lakini baada ya hapo kuna kinachofanyika.Sisi tutaendelea kushirikiana na Manispaa zote,kama ambavyo tumekuwa tukifanya,lakini ni jambo jema sana,pale unapoona mhusika anachukua hatua kutatua changamoto inayomkabili kabla mtu mwingine wa pembeni kufanya hivyo"Alisisitiza Wakili Thomas.

Mkoa wa Dar es Salaam ni moja wapo ya mikoa ambayo ina changamoto  za kimazingira,ambapo kwa sehemu kubwa  changamoto hizo zinatokana na shughuli za kibinadamu kama ujenzi usiozingatia mipango miji, Biashara ndogondogo katika maeneo yasiyo rasmi,jambo linalosababisha uzalishaji mwingi wa taka,unaoambatana na utupaji  holela wa taka,uchimbaji  holela wa mchanga na utiririshaji wa maji taka kutoka kwenye makazi ya watu kwenda kweye mito.

LEAT kama mdau muhimu wa mazingira,imekuwa mstari katika kuhakikisha kwamba inawawezesha wakazi  wa Mkoa huo kuelewa na kutimiza wajibu wao ili kuishi katika mazingira safi na salama.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke