• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Katibu Mkuu TAMISEMI afurahishwa na mpango mkakati wa Temeke kunusuru wanafunzi 5,808

Posted on: January 3rd, 2020

Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza mwaka 2020

Kati ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wavulana ni 335,513 na wasichana ni 36,525, Katika mkoa wa Dar es salaam wanafunzi waliokosa kuchaguliwa ni 5,808 sawa na 10% ya waliochaguliwa.

Akizungumza na Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke pamoja na baadhi ya wakuu wa idara, Katibu Mkuu Eng Joseph Nyamuhanga alimuagiza Mkurugenzi Mwakabibi kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa ,sambamba na wale waliofaulu lakini hawakupangiwa shule kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa ,wote kwa pamoja waanze shule siku ya jumatatu tarehe 06/01/2020.

“Natambua shule zitafunguliwa tarehe 06 siku ya jumatatu,hivyo basi ninakuagiza utafute namna ya kuhakikisha wanafunzi wote katika Manispaa yako wanakwenda kuanza masomo siku hiyo”Alisema Eng Nyamuhanga

 Sitaki kusikia kuwa wapo waliobaki nyumbani kwasababu ya changamoto ya madawati wala vyumba vya madarasa, wote waanze pamoja, tafuta namna ya kuwasaidia, tutavumilia msongamano kwa mwezi mmoja tu ila ifikapo mwezi februari naimani ujenzi utakuwa umekamilika na wanafunzi watakaa madarasani kwa uwiano unaotakiwa.Alisisitiza zaidi.



Nae Mkurugenzi Mwakabibi amemtoa hofu Katibu Mkuu kwamba wanafunzi wote 5,808 waliokosa nafasi wataingia darasani siku ya jumatatu kama ilivyoagizwa na kumuhakikishia mpaka ifikapo februari 10 madarasa yote 120 yatakuwa yamekamilika na hakuna mwanafunzi atakae soma kwa adha tena

Mhe.Katibu Mkuu ninakuhakikishia Temeke tumejipanga, fedha za ujenzi tunazo na tutajenga usiku na mchana mpaka kufikia tarehe 10/02/2020 kila mwanafunzi aliyefaulu na kuchaguliwa atakuwa anasoma katika jengo zuri sambamba na kukalia dawati.

“Tumesimamisha kila kitu ili watoto wetu wasome, kusoma ni haki ya msingi ya kila mtoto hivyo  kwa kipindi hiki cha mwezi mmoja  tutaongeza wanafunzi katika  baadhi ya shule lakini baada ya hapo kila mwanafunzi atapangiwa wapi akasome “.Alisema Mwakabibi

 Zira ya Katibu Mkuu TAMISEMI ni moja kati ya ziara nyingi anazofanya katika kuhakikisha utendaji kazi unafanyika kwa weledi na kukumbushana wajibu wa kufanya kazi kwa bidii kwa ustawi wa Taif, Katibu Mkuu  alipata wasaha wakutembelea shule ya sekondari Kijichi nakujionea ujenzi wa vyumba vya madarasa na kuridhishwa na namna maandalizi yanavyoendelea ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke