• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ATEMBELEA BANDA LA TEMEKE MAONESHO YA NANENANE

Posted on: August 1st, 2025

katibu Tawala Mkoa wa Tanga Ndg. Rashid Kassim Mchatta ikiwa ni Siku ya Kwanza kuanza kwa Maonesho ya Wakulima na Wafugaji almaarufu kama Nanenane leo Agosti  Mosi, 2025 ametembelea  Banda la Manispaa ya Temeke.


RAS Mchatta amesifu jinsi Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ilivyojipanga na kujidhatiti katika kuonesha dhana za kisasa za kilimo na teknolojia mbalimbali zinazohusu Kilimo bora, Ufugaji na Uvuvi.


RAS  Mchatta ameipa sifa Manispaa ya Temeke kwa kuweka wigo imara katika bwawa la kufugia samaki kwani inasaidia usalama wa wanaotembelea bwawa hilo pamoja na samaki wenyewe.


Aidha RAS Mchatta ametembelea banda lenye Kuku wa kisasa wa mayai ambapo Mfugaji kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Bi. Christina Chusi amepongezwa kwa Ufugaji wenye tija  kwakuwa anatumia eneo dogo lakini anafuga kuku wengi takribani elfu mbili,


Kadhalika RAS Mchatta amepata fursa ya kujifunza na kuuliza maswali yenye udadisi na kuonesha kuvutiwa na ufugaji huo hivyo akapatiwa kitabu cha jinsi kufuga kuku wa mayai kilichoandaliwa na Bi. Christina Chusi kama zawadi ili kuweza kujifunza kwa undani zaidi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. KAYANZA PETER PINDA AFUNGUA RASMI MAONESHO YA NANENANE

    August 02, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ATEMBELEA BANDA LA TEMEKE MAONESHO YA NANENANE

    August 01, 2025
  • “KUNYONYESHA NI DARAJA LA UPENDO KATI YA MAMA NA MTOTO” DKT. LULANDALA

    August 01, 2025
  • RAS MHINTE AFURAHISHWA NA KASI YA UKUSANYAJI MAPATO TEMEKE

    September 12, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke