• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

KATIBU TAWALA TEMEKE AITAKA JAMII KUJITOKEZA KATIKA KAMPENIYA UGAWAJI WA KINGATIBA KUDHIBITIUGONJWA WA MATENDE NA MABUSHA (NGIRIMAJI)

Posted on: November 18th, 2022

Na; Nassoro Rashid


       TMC Habari


Novemba 18, 2022 katibu tawala wilaya ya Temeke  Bi Bupe Mwakibete ameongoza kikao cha uhamasishaji ngazi ya Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya, kujadili mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele, hususani ugonjwa wa Matende na Mabusha (Ngirimaji) kilichofanyika katika ukumbi  wa idara ya Afya manispaa ya Temeke.


Akizungumza mara baada ya kikao hicho katibu tawala Bupe amesema anamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kwa ajili ya kupata dawa hizo zitakazowafikia Wananchi wote ili waweze kuendelea kuwa na afya njema.


" Kwa hiyo tunawasihi Wananchi waunge mkono juhudi za Mheshimiwa Rais kuhakikisha Wananchi wote wanakuwa na afya njema ili waweze kushiriki vizuri katika shughuli za kiuchumi". Alisema Katibu Tawala Bupe 


Zoezi litaanza Novemba 21 mpaka 25 mwaka huu, kwa niaba ya mkuu wa Wilaya tunatoa wito kwa Wananchi wote wa wilaya ya Temeke kujitokeza kupata kingatiba hizi, ambazo zitakwenda kuwasaidia kujikinga dhidi ya magonjwa ya Mabusha pamoja na Matende." Aliongeza Katibu Tawala Bupe.


Kwa upande wake mganga mkuu wa wilaya Dkt. Irene Haule amesema wanategemea kumezesha dawa  Wanawake,Wanaume na Watoto,ambapo jumla yao wote ni takribani 1,567,267,wenye umri kuanzia miaka 5 na kuendelea,isipokuwa  Wajawazito na Wamama Wanaonyonyesha hawatahusika katika zoezi hilo.


Magonjwa ya  Matende na Mabusha yanasababishwa na mbu wa aina nne,mtu yeyote bila kujali jinsia yake,anaweza kupata.Yanaathiri uchumi wa  Wanajamii, yanaleta ulemavu wa kudumu na unyanyapaa, yanapunguza nguvu ya uzalishaji pamoja na kukosesha furaha, hivyo upatikanaji wa kingatiba hiyo utasaidia Wananchi kuepukana na athari hizi.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke