• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MADIWANI 40 WA MVOMERO WATEMBELEA BANDA LA MANISPAA YA TEMEKE-MOROGORO

Posted on: August 6th, 2022

TMC habari-Morogoro

Maonesho ya wakulima maarufu Nanenane yanaendelea mkoani Morogoro ikiwa leo ni siku ya sita toka yalipoanza rasmi Agosti mosi mwaka huu.

Banda la Halmashauri ya manispaa ya Temeke limeendelea kuwa kivutio katika Maonesho hayo ambapo leo Agosti 6,2022 limetembelewa na waheshimiwa madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mvomero wakiongozwa na makamu mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mhe.Christopher Maarifa ambaye pia ni diwani wa kata ya Mangae wilayani Mvomero.

Wakiwa ndani ya banda hilo,madiwani hao wapatao 40 walipata fursa ya kujionea na kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na wajasiriamali na wakulima wanaotoka wilayani temeke.

"Nimekuwa nikisikia tu sifa kutoka kwa watu huko kuhusu mambo yanayofanywa hapa Temeke na mimi nikashauri tuje kupita hapa na kujifunza jinsi gani ya mikopo ile ya asilimia 10,na nimeona vitu vingine ambavyo sijawahi kuviona kama aina hii ya samaki mkunga".Aliongeza Mhe.Christopher.

Naye Mwenyekiti wa kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira wa Halmashauri hiyo Mhe.Jailos John Msigwa amesema kuwa wameweza kujifunza mambo mengi kupitia ziara yao hiyo na wataenda kufanyia kazi yale waliyojifunza.

Ziara hiyo ya madiwani ni muendelezo wa wageni mbalimbali wanoendelea kutembelea banda la manispaa ya temeke lililopo ndani ya viwanja vya Mwl.Nyerere maarufu kama Nanenane mkoani Morogoro ambapo elimu na mafunzo mbalimbali yanaendelea kutolewa juu ya kilimo bora,ufugaji,uvuvi na ujasiriamali ili kuhakikisha kilimo kinakuwa cha kibiashara ifikapo mwaka 2030.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke