• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Manispaa ya Temeke na mafanikio lukuki

Posted on: November 13th, 2019

TEMEKE YA LEO NA MAFANIKIO LUKUKI

“Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ya leo si ile ya miaka mitatu iliyopita” ni maneno ya Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe.Juma R. Mkenga akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Manispaa hiyo.

Ziara hiyo imefanyika leo ikihusisha timu ya waheshimiwa madiwani wa Manispaa ya Temeke pamoja na wataalam wakiongozwa na Kaimu Mkungenzi Ndg Deogratius Lokumanya kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa Ndg Lusubilo Mwakabibi.

Timu hiyo ya Madiwani na wataalam imetembelea miradi takribani 7 miradi yote kwa ujumla wake inagusa Sekta ya Afya, Elimu, Michezo, Miundombinu na Masoko.

Kwa upande wa Elimu na Afya yako mapinduzi makubwa yanayoendelea katika Manispaa ya Temeke ikiwemo ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kisasa Buza ambacho  kitakuwa na uwezo wa kuhudumia wagonjwa wa  kulazwa wapatao 75 kwa wakati mmoja.lakini pia ujenzi wa  Zahanati ya Kisasa ya Yombo vituka ambayo inajengwa kwa Mapato ya ndani.

Ujenzi wa kituo cha afya Buza chenye uwezo wa kulaza wagonjwa 75 kwa wakati mmoja mara kitakapoanza kutoa huduma


Mwonekano wa ujenzi wa mradi wa zahanati ya kisasa yombo vituka mradi ambao unatekelezwa kwa fedha za ndani (own sorce).

Kwa kuwa elimu ndio mkombozi pekee timu pia imejionea maendeleo ya mradi wa madarasa 2 ya walemavu katika shule ya Msingi mbagala kuu na Ujenzi wa vyumba 6 vya madarasa shule ya sekondari Minazini pamoja na Ukarabati wa vyumba vya madarasa 16, stoo na ofisi ya walimu katika shule ya sekondari Kurasini II

Ujenzi wa madarasa 2 ya walemavu katika shule ya msingi Mbagala kuu ujenzi ambao unatarajiwa kukamilika baada ya wiki mbili kuanzia siku ya leo.

Aidha  Sekta ya Michenzo, Miundombinu Manispaa ya Temeke haipo nyuma timu hiyo imejionea maendeleo ya Ujenzi wa Uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu na mpira wa pete pia barabara za lami zinazounganisha maeneo anuai ya Wilaya Temeke pamoja na Soko la Makangarawe ambalo limeshakamilika bado ufunguzi rasmi.

Kwa ujumla waheshimiwa madiwani wameridhishwa na kasi yautekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Manispaa ya Temeke kwa kuunga juhudi za Mhe Rais wetu mpendwa Dkt John Pombe Magufuli ya kuwaletea wanachi maendeleo hasa wa hali ya chini, akitoa neno la shukrani wakati hitimisho ya ziara hiyo Naibu Meya Mhe Juma Mkenga ameushukuru ungozi wa Manispaa chini ya Mkurugenzi Ndg Lusubilo Mwakabibi kwa uchapaji kazi mzuri pia amewataka wananchi kuhakikisha wanaitunza miradi hiyo na waendelee kulipa kodi kwa maendeleo ya Manispaa ya Temeke.

Katika picha ni baadhi ya waheshimiwa madiwani wakipata maelezo kutoka kwa wataalam katika Zahanati ya Yombo vituka wakati wa ziara hiyo leo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke