• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MANISPAA YA TEMEKE YAKABIDHIWA VIFAA TIBA NA JWTZ

Posted on: August 29th, 2022

Katika kuadhimisha siku ya majeshi ya Afrika Mashariki,Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) limetoa msaada wa vifaa tiba na madawa pamoja na huduma za matibabu bure katika hospitali ya Mbagala Rangitatu.

Akizungumza leo Agosti 29,2022 katika hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa hivyo na kufungua rasmi utoaji wa huduma ya matibabu bure katika Hospitali hiyo,Meja Jenerali Gabriel Mhidze amesema pamoja na huduma hiyo ya afya ambayo itatolewa kwa siku tatu kuanzia leo Agosti 29 hadi Agosti 31 mwaka huu, pia watatoa misaada katika vituo vya watoto yatima na vinavyohudumia wazee.

"Lengo kubwa la wiki ya majeshi ya Afrika Mashariki ni kuyaleta majeshi yetu karibu ili kuyaunganisha na kuyafanya kuwa karibu na Wananchi ili kufikia lengo la Afrika Mashariki na kuondoa fikra tofauti zilizopo".Alisema Meja Jenerali Mhidze

Naye mstahiki meya wa manispaa ya Temeke Mhe. Abdallah Mtinika ameushukuru uongozi wa Jeshi hilo kwa kuichagua hospitali ya Mbagala Rangitatu kuleta misaada hiyo, pamoja na huduma za afya ambapo ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kwa wingi katika siku hizo za matibabu bila malipo.

Mkazi wa Mbagala Bi.Sofia Kilango amemshukuru mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuboresha huduma za afya hasa za wakina Mama na Watoto.

Septemba 01,2022 Tanzania itaadhimisha siku ya majeshi, ikiwa ni miaka 58 toka kuanzishwa kwa JWTZ mwaka 1964.Kuelekea siku hiyo, madaktari wa jeshi hilo wanatoa huduma za kibingwa katika vituo mbalimbali vya afya Nchini sambamba na kutoa misaada ya vifaa tiba na madawa katika vituo vya Afya pamoja na misaada ya kijamii katika vituo vya kulelea watoto yatima na makao ya wazee wasiojiweza.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke