• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MANISPAA YA TEMEKE YAPATA HATI SAFI MIAKA MITATU MFULULIZO

Posted on: July 2nd, 2024

Na: Joanita Joseph - TMC Habari


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Julai 02, 2023 ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa kupata hati safi kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia 2019/2020, 2021/2022 na 2022/2023.


Mhe. Chalamila ametoa pongezi hizo katika Mkutano Maalum wa Baraza la Madiwani uliobeba agenda kuu ya kujadili taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali uliofanyika katika Ukumbi wa Iddy Nyundo Manispaa ya Temeke.


"Ninawapongeza sana na mnapaswa kuilinda hii hati safi, safari ya kutoka hoja 37 na 28 zimefungwa hii ni safari, hongereni, ushauri wangu jitahidini kuwekeza kwenye maeneo yenye hoja nyingi na hakikisheni mnafunga hoja zote zilizoko ndani ya uwezo wenu ili mambo yaweze kwenda vizuri. Kumbukeni Mkaguzi wa Ndani ni jicho la Serikali."


Mhe. Chalamila ametoa pongezi pia kwa Manispaa katika ukusanyaji wa mapato.


"Nimepata taarifa zenu kuwa mmeshakusanya Bilioni 47 sawa na 99% ya lengo la makusanyo kwa mwaka 2023/2024 katika hili nawapongeza sana, na niwaambie Watanzania tusivishe kodi gwanda la kisiasa, kodi inapaswa kuanza kufundishwa kwa watoto wadogo. Ili Nchi iendelee lazima ikusanye kwa watu wake" alisema Mhe. Chalamila


Kwa upande wake Dkt. Toba Nguvila, Katibu Tawala Mkoa wa Dar es salaam ametoa wito kwa viongozi na watendaji wa halmashauri kufuata sheria, taratibu na kanuni hasa katika fedha, manunuzi ya umma na nidhamu katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.


Akifunga Baraza hilo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe. Abdallah Mtinika ametoa shukrani kwa Ofisi ya CAG na Mkuu wa Mkoa huku akiahidi kuwa Manispaa itafanyia kazi mambo yote yaliyosisitizwa katika taarifa ya matokeo ya ukaguzi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke