• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MENEJIMENTI TEMEKE YAHITIMISHA ZIARA UKAGUZI WA MIRADI ROBO YA KWANZA

Posted on: October 17th, 2023

Na: Joanita Joseph 

TMC Habari.


Menejimenti pamoja na wataalamu kutoka Idara mbalimbali za Halmashauri ya Manispaa ya Temeke leo Oktoba 17, 2023 imeendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Manispaa hii.


Ziara hiyo yenye lengo la kuona utekelezaji, thamani ya fedha, kubaini changamoto pamoja na kutoa utatuzi imehitimishwa leo ambapo miradi iliyotembelewa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya ya Msingi katika eneo la Mkondogwa kata ya Chamazi (Msufini), uliofadhiliwa na serikali kuu kupitia TAMISEMI chini ya Mradi wa BOOST katika Mwaka wa fedha 2022/2023 wenye thamani ya Tshs. Milioni 475.3.


Vilevile Menejimenti ilitembelea mradi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi Mikwambe, mchepuo wa Kiingereza iliyopo kata ya Toangoma unaotekelezwa kwa fedha kutoka serikali kuu wenye thamani ya Tshs Milioni 800, ujenzi wa Shule mpya ya sekondari kata ya Chamazi (Imani) wenye thamani ya Tshs Milioni 751.6 unaotekelezwa kwa mapato ya ndani na fedha kutoka mradi wa SEQUIP.


Halkadhalika Menejimenti imetembelea mradi wa ujenzi wa ghorofa zenye vyumba 32 vya madarasa katika shule ya sekondari Dovya, unaotekelezwa kwa fedha kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri pamoja na Serikali Kuu ambapo kukamilika kwake kutasaidia kuondoa msongamano wa wanafunzi madarasani na hivyo kurahisisha mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji lakini pia kupunguza umbali kwa Wanafunzi kufuata Shule nje ya kata yao na hatimaye kuwapunguzia wazazi gharama za usafiri.


Menejimenti imehitimisha ziara yake kwa kutembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Mkondogwa unaotekelezwa kwa mapato ya ndani, ambapo imepongeza ubora na kusisitiza watendaji wote kufanya kazi kwa weledi katika utekelezaji wa miradi hiyo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke