• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"Miongozo ya utendaji kazi ya kiutumishi izingatiwe na kuheshimiwa" Mhe Godwin Gondwe.

Posted on: December 24th, 2020

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh Godwin Gondwe leo ametembelea na kufanya mazungumzo na watumishi wa Hospitali binafsi ya Dar Group iliyoko Tazara Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.Katika ziara hiyo alikuwa ameambatana na kamati ya ulinzi na usalama pamoja na Katibu tawala wa wilaya Bi Bupe Mwakibete na mganga mkuu wa wilaya Dkt Gwamaka Mwabulambo.

Mhe Mkuu wa wilaya amezuru katika viunga vya hospitali hiyo mnamo saa 7:00 asubuhi, lengo hasa likiwa ni kusikiliza na kutatua kero za watumishi katika hospitali hiyo kuanzia ngazi ya Utawala, madaktari, wauguzi na watumishi wengine wa kawaida.

Akiwa hospitalini hapo amepata wasaa wa kuzungumza na watumishi mbalimbali akisikiliza kero zinazowakabili kiutumishi, vilevile akawakutanisha na menejimenti ya hospitali na watumishi ana kwa ana kujibu baadhi ya kero za watumishi ambazo zilielekezwa kwao.

Aidha mkuu wa wilaya baada ya kusikiliza kero hizo akatoa maagizo yafuatayo:

kwanza, Mazingiara ya utendaji kazi katika hospitali hiyo yaboreshwe, watumishi waliosimamishwa kazi ndani ya siku 3 za kazi kuanzia leo uchunguzi ufanyike na hatima yao ijulikane, taaluma za watumishi ziheshimiwe, sheria za kazi zizingatiwe, kuazishwa kwa chama cha wafanyakazi na usitishwaji wa mikataba kwa watumishi uzingatie miongozo ya kazi kiutumishi.

Vilevile Mkuu wa wilaya ameitaka menegimenti ya hospitali kuacha kuwataka madaktari kuongeza vipimo kwa wagonjwa kwa lengo la kuongeza kipato mfano unakuta mgonjwa anaumwa ugonjwa fulani lakini dakatari analazimishwa kuandika vipimo vingine vya ziada ili malipo yawe makubwa kwa wale wanatumia bima.

Sambamba na hilo Mkuu wa wilaya ameutaka uongozi wa hospitali hiyo kutoa ushirikiano kwa tume ambayo itaanza kazi rasmi tarehe 26/12/2020 ili kuchunguza mwenendo mzima wa utendaji kazi na utoaji wa huduma katika hospitali hiyo.

Mwisho, Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Dar Group Bi Restuta Kibasa amekiri mbele ya Mkuu wa wilaya malalamiko na kero za watumishi zilizotolewa na kuhaidi kujirekebisha na maagizo yote yaliyotolewa na mkuu wa wilaya yatatekelezwa mapema iwezekanavyo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke