• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Mkurugenzi Mwakabibi atoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.

Posted on: June 12th, 2019

Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ndugu Lusubilo Mwakabibi  awatahadharisha wakazi wote wa Manispaa na viunga vyake kuchukua tahadhari ya mlipuko wa  ugonjwa wa Kipindupindu .

Alibainisha kuwa kukidhiri kwa uchafu katika maeneo mengi ni sababu mojawapo inayopelekea mlipuko wa magonjwa ikiambatana na matumizi ya maji yasiyo safi na salama iwapo yatatumiwa katika chakula au mtu kunywa bila ya kuchemshwa kwa kiwango kinachohitajika,alibainisha kwamba usafi wa mazingira ni wa msingi zaidi ili kujilinda na magonjwa ya mlipuko.

“Manispaa ya Temeke imejipanga kwa kutoa elimu ya uhamasishaji  na tayari wadau wa Afya wameanza kutembelea nyumba kwa nyumba katika maeneo yote yaliyoathirika sambamba na  ugawaji wa dawa za usafi ili kuangamiza mazalia”.Alibainisha zaidi

Tangu ugonjwa wa kipindupindu uliporipotiwa kwa Manispa ya Temeke tarehe 20/05/2019 wagonjwa 48 wamehisiwa mpaka sasa, na kati yao vipimo 10 vimeonesha uwepo wa ugonjwa huo na vifo vilivyoripotiwa ni 2 tu.


Nae Mratibu wa ufuatiliaji magonjwa wa Manispaa ya Temeke Bibi Prisca Uswege alibainisha kuwa mpaka sasa nyumba 400 zimetembelewa  na wakazi 1023 wamepatiwa  elimu ya namna ya kujikinga na mlipuko huo sambamba  na ugawaji wa water guard pamoja na dawa ya Chlorine.

Nae Mganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke Dr.Gwamaka Mwabulambo alisema “tayari kuna kambi maalumu iliyopo katika Hospitali ya Temeke kwaajili ya magonjwa ya mlipuko ambapo  matibabu na uangalizi kwa wagonjwa hao hufanyika kwa urahisi zaidi”.

Dr. Mwabulambo alibainisha zaidi kwamba dalili za ugonjwa wa kipindupindu ni pamoja na kuharisha mfululizo, kutapika,macho kudidimia ndani, kinyesi na matapishi yenye rangi kama ya maji ya mchele, pamoja na ngozi kusinyaa.

Pamoja na hayo ameeleza  namna ya kujikinga na mlipuko huo kwa kunawa mikono kwa maji safi na salama kwa sabuni kabla ya kuandaa chakula ama kumlisha mtoto,kunawa mikono kwa maji safi na salama baada ya kutoka chooni au kumsafisha mtoto aliyejisaidia,kusafisha matunda  ama vyakula vibichi kama matunda na mbogamboga, kuhakikisha unatumia choo kwa usahihi,kula chakula cha moto,kufunika chakula kilichoandaliwa tayari kwa  kula,na ukiona mtu anatiririsha au kutapisha choo,toa taarifa haraka kwenye ofisi za serikali ya mtaa au kata zilizokaribu na nawe.

Kipindupindu kitakwisha iwapo mazingira bora ya kukiepuka yatakuwapo huku jamii nzima ikipewa elimu ya namna ya kujilinda na magonjwa ya mlipuko sambamba na kuhaikisha kanuni za Afya zinazingatiwa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke