• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MKURUGENZI TEMEKE AGUSWA NA KILIO CHA MARTHA

Posted on: November 15th, 2022

Na; Nassoro Rashid  

TMC Habari

Leo Novemba 15, 2022 Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa mwanamke na mtoto Ndugu Elihuruma Mabelya amekutana na  Martha Mwambalila  mkazi wa Temeke pamoja na watoto wake watatu ofisini kwake ili kumshika mkono kwa kumsaidia bima ya afya na vifaa vya matibabu.

 Mkurugenzi Mabelya amesema aliguswa na sauti ya Martha iliyosikika kupitia kituo cha habari cha ITV Septemba15,2022  kwenye taarifa ya habari ya Saa 2:00 usiku, akipaza sauti ya machungu baada ya kutelekezwa na mumewe.

Martha alionekana akiomba msaada kwa Mhe. Rais pamoja na wasamalia wema kuweza kumsaidia matibabu ya watoto wake (Riward Peter) mwenye ulemavu wa mguu, (Grace Peter) mlemavu wa mkono uliotokana na kuungua pamoja na (Grecious Peter) mwenye tatizo la  nyama za pua, ambapo kwa hali ya maisha ya mama huyo hawezi kumudu matibabu yao.

"Tayari tumeshatoa fedha kumnunulia vifaa vya kumuwezesha kutembea vizuri mtoto mwenye ulemavu wa mguu, kupitia Mganga Mkuu wa wilaya tutaendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo ya watoto wawili wanaokwenda kliniki kwa ajili ya matibabu, kwa sasa tunakamilisha taratibu za kumpatia Martha bima ya afya ya CHF ili kuhakikisha angalau wanakuwa na uhakika wa matibabu". Alisema Mkurugenzi Mabelya.

Akizungumza mara  baada ya kupokea msaada huo,Martha amemshukuru Mhe. Rais kupitia mteule wake Mkurugenzi wa Temeke kwa kumsikia kilio chake na kumpatia  msaada wa vifaa vya kutembelea vya mtoto  pamoja na bima ya Afya  itakayowezesha  matibabu yao.

Huu ni muendelezo wa viongozi wa Wilaya ya Temeke kusikia sauti za wakazi wao wenye matatizo  na kuyatatua.Ambapo mnamo  September 29,2022 mama mwenye mapacha wanne Bi Fatuma Mtopela alikabidhiwa pikipiki na Mkuu wa Wilaya ili impatie kipato kitakachomuwezesha kupata mahitaji ya watoto wake.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke