• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MKURUGENZI WA TEMEKE ATUMIA UZINDUZI WA 'DIWANI CUP' KURASINI KUELEZA MAENDELEO

Posted on: October 9th, 2022

Na:Shalua Mpanda

  TMC-Habari

Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ndugu Elihuruma Mabelya ametumia uzinduzi wa mashindano ya "Diwani Cup" yaliyoandaliwa na Diwani wa kata ya Kurasini mheshimiwa Arnold Peter kuzungumzia maendeleo yaliyopatikana katika uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita.

Mkurugenzi Mabelya ameainisha baadhi ya maendeleo yaliyopatikana katika kata hiyo ya Kurasini, ambayo ni pamoja na fedha kiasi cha shilingi milioni 100 zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya Ujenzi wa Zahanati.

"Mheshimiwa diwani na wakazi wote wa Kurasini, niwahakikishie, Halmashauri ya manispaa ya Temeke itaendelea kuweka mkazo wa maendeleo katika nyanja zote, ni wajibu wetu kama Serikali kuhakikisha maendeleo yanafika katika kata zote 23 za Halmashauri hii".Alisisitiza Mkurugenzi Mabelya

Awali akimkaribisha Mkurugenzi,muandaaji wa mashindano hayo ambaye pia ni diwani wa kata ya Kurasini na naibu meya wa Manispaa ya Temeke,

Mhe.Arnold Peter amesema mashindano hayo ambayo ni ya awamu ya pili yamekuwa na tija kubwa kwa vijana kwa kuwatengenezea ajira kutokana na vipaji vyao.

"Niwaambieni tu,mchezaji mmoja aliyeshiriki mashindano haya mwaka jana sasa hivi yupo nchini Uturuki.Kuna watu wanakuja hapa kuangalia vipaji na hivyo kuwawezesha vijana kupata ajira".Alisema Mhe.Arnold

Mashindano hayo ambayo yameanza rasmi Oktoba 9,2022 yanashirikisha timu 16, na yanatarajiwa kuchezwa kwa mfumo wa ligi ambapo mshindi wa kwanza katika Mashindano Hayo atajinyakulia zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni 1,ng'ombe mmoja,seti moja ya jezi na mipira.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke