• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MKUU WA WILAYA TEMEKE ATEMBELEA WODI YA WAZAZI TEMEKE HOSPITALI

Posted on: September 21st, 2023

Na: Sweetbetter Njige-TMC Habari


Leo Septemba 21,2023 mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Mobhare Matinyi ameungana na Mbunge wa jimbo la  Temeke Mhe.Dorothy Kilave, Viongozi wa Chama (CCM) na wadau mbalimbali wa afya kukabidhi nepi za kisasa (Diapers) kwa Wanawake waliojifungua na wanaotarajia kujifungua katika hospitali ya rufaa ya mkoa Temeke.


Akikabidhi nepi hizo Mhe. Matinyi ameeleza nia ya dhati iliyowasukuma Viongozi hao na wadau wa afya kuungana pamoja kuwapongeza na kuwafariji wazazi waliojifungua katika hospitali hiyo, alisema.


"Tumekuja kuwaona kina mama waliokwisha jifungua, tukaona tusije mkono mtupu tumeleta zawadi ya nepi za kisasa (Diapers) kwa watoto wachanga, hii iwe zawadi kwa kina mama hawa, wanafanya kazi kubwa ya kuleta maendeleo kwa Taifa kwa kuwa wao ndio msingi wa maisha.Alisema Mhe.Matinyi


Aidha Mhe. Matinyi amesema wananchi wa Temeke wanapaswa kujivunia uwepo wa wataalam wenye juhudi na utu wanaohudumia katika hospitali hiyo kwa kuthamini jitihada zao.


"Nitoe shukrani kwa Mganga mfawidhi na timu yako, hospitali yetu inahudumia Wananchi wengi sana, mnafanya kazi kubwa tunapaswa kujivunia uwepo wa wataalam wanaofanya kazi nzuri kwa moyo wa kujitolea ikiwemo kufanya masuala ya uchunguzi". Alisema Mkuu huyo wa Wilaya


Kwa upande wake Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo Dkt. Joseph Kimaro amemshukuru mkuu wa Wilaya hii kwa jitihada zake za kufanikisha upatikanaji wa msaada huo na kumuahidi watumishi wa hospitali hiyo wataendelea kutoa huduma kwa upendo na uaminifu.


"Nikushukuru kwa jitihada ulizochukua kufanikisha upatikanaji wa msaada huu utakaowasaidia kina mama waliokwisha jifungua. Hospitali hii inahudumia Wananchi wa Temeke wanaokaribia 1,500,000 lakini inahudumia zaidi ya hao kutoka maeneo jirani, tutaendelea kuwahudumia kwa upendo ili waweze kurudi kulihudumia taifa". Alisema Dkt.Kimaro


Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Temeke ni moja kati ya hospitali inayopokea na kuhudumia wagonjwa wengi nchini.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke