• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MSTAHIKI MEYA AHIMIZA UKUSANYAJI MAPATO KATIKA HALMASHAURI.

Posted on: February 3rd, 2022


Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Mheshimiwa Abdallah Mtinika ametoa wito kwa madiwani kusimamia kwa karibu ukusanyaji wa mapato yatayopelekea kukuza shughuli za maendeleo katika manispaa ya Temeke.

Ameyasema hayo siku ya Februari Mosi, 2022 katika Baraza la Madiwani wakati wakijadili na kupokea taarifa ya utekelezaji wa robo ya pili Oktoba-Disemba 2021 lililofanyika Ukumbi wa Iddi Nyundo uliopo katika ofisi za Halmashauri.

"Manispaa ya Temeke inataka kuacha alama na kuhakikisha maendeleo yanapatikana kwa Kila mwananchi na halmashauri kwa ujumla jambo ambalo litasaidia kuwa mfano wa kuigwa kwa halmashauri nyingine". Alisema Mhe. Mtinika

Sambamba na hayo ametoa rai kwa madiwani, wakuu wa idara, mkurugenzi, mkuu wa wilaya na taasisi zengine za serikali kushirikiana vyema katika utekelezaji wa majukumu kwani ushirikiano unaleta chachu ya maendeleo bora katika wilaya ya Temeke.

"Tuendelee kusimamia ajenda yetu ya mapato hakika tusiyumbe, tusiogope tuendelee kuisimamia kwa ujasiri mkubwa japokuwa watendaji hukumbana na adha mbali mbali, lakini kama kuna mahala hapalipwi mapato basi palipwe, pia tuendelee kuwa na umoja na uwazi kuitetea Temeke yetu ili kuwa kinara kwenye mapato, utekelezaji na mahusiano". Alisisitiza Mstahiki Meya

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Ndugu Elihuruma Mabelya ametoa ufafanuzi juu ya maswali na changamoto zlizootolewa na madiwani wa kata 23 wa Wilaya ya Temeke ambapo ameeleza kuwa changamoto zote zinaenda kumalizika huku akisisitiza baada ya utaratibu kufuatwa atahakikisha wananchi wanaendelea kunufaika na maendeleo hayo kwa wakati.

Wakati huo huo Ndugu Mabelya amesema kuwa Manispaa ya Temeke imekuwa kinara kwa ukusanyaji wa mapato Mkoa wa Dar es salaam huku akiendelea kusisitiza kushirikiana zaidi ili kuiletea Temeke maendeleo makubwa yanayostahili, pia wametoa pongezi kwa vijana walioshiriki kupanda mlima Kilimanjaro maarufu kama skauti ambapo amesema vijana hao wameleta sifa kuitangaza Temeke.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke