• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"MWANAMKE ANA THAMANI KUBWA KATIKA JAMII" NAIBU MEYA TEMEKE

Posted on: March 4th, 2024

Na: Shamsi Dadi - TMC Habari


Kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8,2024, Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Mhe. Anorld Peter ambaye pia ni Diwani wa kata ya Kurasini, leo Machi 4, 2024 ameongoza kikao kifupi cha Wanawake kilichofanyika katika Zahanati ya Kurasini kilicholenga kuhamasisha wanawake wajawazito kujitokeza kupata huduma pamoja na utoaji chanjo kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5 punde tu zahanati hiyo itakapozinduliwa rasmi.


Akizungumza wakati wa hotuba yake, Naibu Meya ameeleza lengo na umuhimu wa kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani.


"Tukio hili linamuheshimisha sana Mwanamke,na linatukumbusha kuhusu umuhimu wake, Mwanamke ni Mtu mwenye thamani sana katika jamii na ndio maana tunaadhimisha siku ya Wanawake Duniani." Alisema Mhe.Anorld


Halikadhalika Mhe. Arnold ametumia kikao hicho kumshukuru Mhe. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa Miradi mbalimbali ambayo inatekelezwa katika kata ya Kurasini.


"Mheshimiwa Rais amefanya mambo mengi mazuri sana ambayo ninyi kama Wanawake muwe wa kwanza kumsemea, na mimi sina budi kuyasema, katika kata yetu hii, ujenzi wa Zahanati,nusu ya fedha imetoka Serikali Kuu" Alisema Mhe. Arnold


Katika hatua nyingine Mhe.Anorld amewakumbusha Wananchi kufanyia kazi elimu ya ukatili wa kijinsia sambamba na kujisajili kwenye vikundi ikiwa ni pamoja na kuomba mkopo kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi.


Kwa upande wake kaimu mganga mfawidhi wa zahanati hiyo Dkt. Zakia Ngondo ametoa wito kwa wa wananchi kujitokeza kupata huduma zahanati hapo jambo litakaloleta chachu ya kupata huduma nyingine zaidi kama vile 'X-ray' na 'Utra-sound', pamoja na kutoa elimu ni kwa namna gani wazee wenye umri kuanzia miaka 60 na kuendelea wanapata huduma bure za kiafya.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke