• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Rais Magufuli akutana na watendaji wa kata wa nchi nzima

Posted on: September 2nd, 2019

Rais Magufuli leo Jumatatu September 02,219 amekutana na kufanya mazungumzo na Watendaji Kata kutoka katika Mamlaka ya Serikali za Kata zote Tanzania Bara, Ikulu Jijini DSM

_

“Nimewaita ili tubadilishane mawazo Kuhusu masuala mbalimbali ya Serikali, ninyi ni Viongozi wa karibu zaidi na Wananchi, mnazielewa zaidi changamoto za Wananchi, wasaidieni na watembeleeni katika maeneo yao,msikae maofisini tu"

_

“Kutaneni na Wananchi na mtatue kero zao, bebeni kikamilifu dhamana za Uongozi, changamoto ziwasilisheni kwa viongozi wa juu, mnaniwakilisha kwenye kata, Nchi hii hakuna mdogo au mkubwa wote tuko sawa, hata hii Ikulu iko chini ya Kata, kwa hiyo sisi wote tuko chini ya Kata”

_

"Mradi wowote wa Kitaifa wewe unahusika, mtu akikwambia unasimamiwa Kitaifa mwambie Kitaifa ni wewe, Mtendaji wa Kata ni Bosi, sababu ya kuwaita hapa ni kuwapa hayo meno ninyi ni Mabosi, sasa atokee mwingine aseme sio Mabosi mwambieni aniambie mimi”

_

"Nitasikitika baada ya kikao cha leo atokee Kiongozi anamuonea Mtendaji Kata, nitamuona hatoshi, na nitasikitika zaidi nikimuona Mtendaji Kata anawaonea wananchi wangu waliokaa juani kunipigia kura nitamuona huyo Mtendaji hatoshi"

_

"Nilipowaita wengine hawakufurahia, Rais anawaita hadi watendaji Kata Ikulu?, nasikia wa Kyerwa wamepewa Laki na 50 kuja DSM wakati wa Dodoma wameletwa na basi maalum, haiwezekani fulani apate urahisi,mwingine apate tabu,Mabosi wenu hawawezi kufurahia ila mimi ni Boss Mkubwa”

_

"Kazi ya Mtendaji wa Kata ni kazi kubwa, msiidharau, kuna walioanzia kwenye nafasi hiyo na wakapanda mfano tulikuwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Joseph Kakunda, alikuwa ni Mtendaji wa Kata ya Manzese, kidogo kidogo mtapanda"

_

“Nyinyi ni wasimamizi wa Watumishi wa Umma kwenye Kata, hata kama kwenye Kata yako kuna Waziri,Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya usiogope kumwandikia mapendekezo kama anaenda kinyume na maadili ya kazi zake,na ukimuona mkubwa sana nitumie nakala na mimi”

_

“Unakuta kiongozi kila siku anafanya vurugu kwenye baa, mpaka mwenye baa anaamua kufunga kwa sababu yake niandikie mimi tu, nyinyi msijidharau nataka mkitoka hapa mseme 'We are strong', mkijidharau na wengine watawadharau”

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke