• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TALGWU WORKERS GET TOGETHER TEMEKE 2025 YAFANA

Posted on: August 15th, 2025

Ni Jioni iliyokuwa njema kwa Wafanyakazi walio Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) Temeke ambapo leo Agosti 15, 2025 wamejumuika pamoja katika sherehe (Get together) iliyofanyika katika Viwanja vya Makao Makuu ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.


Sherehe hiyo imesheheni Chakula, Nyama choma, Foil, Vinywaji na Burudani ya Bendi mubashara (Live Band) huku Mgeni rasmi akiwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke akiwakilishwa na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria Wakili Fortunata Shija.


Wakili Shija amesisitiza Mshikamano kwa Wanachama wote wa TALGWU! kuchapa kazi kwa bidii ili kuweza kujiletea maendeleo kuanzia ngazi ya familia na hadi ngazi ya Taifa.


Aidha Wakili Shija amependekeza Sherehe hizi zifanyike kila mwaka kama chachu ya kuwaleta watu pamoja na kubadilishana mawazo baada ya kutimiza malengo mahsusi walihojiwekea kwa kipindi maalum cha mwaka.


Kwa upande wa Kamati ya Maandalizi kupitia kwa Mwenyekiti wake Bi. Shamila Hassan amepokea wazo la mwakilishi wa mkurugenzi la kuendeleza mshikamano pamoja na ushirikiano kazini hivyo basi kama Kamati wamekubaliana na wazo la kufanya sherehe hizi kila mwaka kuanzia mwaka ujao wa Serikali.


"TALGWU Chama imara, huduma bora kwa Wanachama"

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • NINA IMANI KUBWA SANA JUU YENU- MD SATURA AWAFUNGUKIA WANAMICHEZO TEMEKE

    August 23, 2025
  • MICHEZO IKATUMIKE KUHAMASISHA UCHAGUZI MKUU 2025-MHE KATIMBA

    August 23, 2025
  • DKT. MACHELA AZINDUA KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA KATA YA AZIMIO

    August 23, 2025
  • ACP MCHOME AONGOZA KIKAO CHA MTAKUWWA

    August 22, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke