• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Tamasha la Vicoba Queens

Posted on: March 1st, 2020

 

VICOBA QUEENS YAFANYA TAMASHA LA AINA YAKE

Tamasha hilo lililobeba ujumbe  wa NGUVU  YA VIKOBA, WEKEZA, INUKA NA VICOBA  lilifanyika jumamosi katika ukumbi wa PR Stadium Hotel  Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.

Tamasha hilo lilipambwa na maonesho ya bidhaa za wanawake wajasiliamali, shuhuda za wanawake waliofanikiwa kupitia VICOBA na mafunzo mbalimbali yenye kuwawezesha wanachama kuwa na ufahamu wa kuwekeza na VICOBA.


Katika picha ni baadhi ya wanawake wajasiriamali wakiwa na bidhaa zao  katika tamasha la Vicoba Queen.

Akiongea katika tamasha hilo mgeni rasmi Katibu mkuu Baraza la uwekezaji Bi Beng`i  Issa amewapongeza Vicoba Queens kwa kuandaa tamasha hilo na amewataka kuhakikisha kila mwanachama anapochukua mkopo katika Vicoba awekeze katika biashara ya kuzalisha ili kuepuka kushindwa kurejesha mkopo.


Mgeni rasmi Bi Beng`i Issa akifungua tamasha la Vicoba Queens katika ukumbi wa PR hall.

Pia ameridhishwa na namna Vikoba Queens walivyoweka mfumo mzuri wa kukopeshana, lakini pia mifumo ya pesa ya uwazi uwepo wa wahasibu na wakaguzi wa ndani na hadi sasa hakuna malalamiko yoyote yale hivyo nawapongeza sana.

Aidha katika kuonyesha kikundi hicho kimeimarika  Bi Zena Ponela mwanachama wa kikundi hicho ambaye kwa sasa anafanya biashara zake Mkoani Mtwara alitoa ushuhuda wake kuwa alianza kukopa milioni 6, milioni 15 na sasa ameweza kukopa milioni 30 ambazo zimemwezesha kununua gari la ubebaji maji na kuyasambaza kwa wananchi wa mtwara, hiyo  ni fursa inayompa kipato kwa kuwa mkoa huo unachangamoto ya maji baridi, maji mengi kule ni ya chumvi.


Baadhi ya wanachama wa Vicoba Queens wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Bi Beng`i Issa.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Vicoba Queens Bi Diana Mfumbulwa alisema wameona wafanye Tamasha hilo ili kuuonyesha umma nguvu ya Vicoba na kuwahamassha wananchi kuwekeza na vikoba ili waweze kujikwamua na wimbi la umasikini, ukiwekeza katika Vicoba unakopeshwa kwa urahisi tena kwa riba ndogo na katika Vicoba vyetu kila kitu kinafanyika kwa uwazi na kwa wakati.

Mwisho Vicoba Queens wameunga mkono juhudi zinazofanywa na Mkurugengzi wa Manispaa ya Temeke Ndg Lusubilo Mwakabibi za ujenzi wa vyumba vya madarasa na Ununuzi wa madawati kwa kuchangia Tsh 100,000/=.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke