• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Tathimini ya Utoaji Chanjo Wilaya ya Temeke

Posted on: October 23rd, 2019

TEMEKE YAVUKA LENGO UTOAJI WA CHANJO YA SURUA, RUBELLA NA POLIO.

Halmshauri ya Manispaa ya Temeke imevuka lengo katika utoaji wa chanjo ya Surua,Rubella na Polio kwa kufanikiwa kutoa chanjo kwa watoto wapatao 216,658 kati ya 190,164 sawa na 114% na chanjo ya Polio watoto 126,528 kati ya 112,870 sawa  na 112%  zoezi ambalo ni la kitaifa likisimamiwa na Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na wadau anui wa Afya lilianza tarehe 17/10/2019 na kuhitimishwa 21/10/2019.

Akitoa taarifa juu ya utekelezaji wa zoezi hilo kwa wajumbe wa kamati ya afya ya msingi katika ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke mratibu wa Chanjo Wilaya ya Temeke kwa niaba ya Mganga Mkuu wa Wilaya Ndg Jumanne Kagoda akasema kutokana na malengo tuliojiwekea katika zoezi hilo tumefanya vizuri zaidi ya asilimia 100 ameeleza hayo mbele ya wajumbe na kusema licha ya kuwa zoezi hili kitaifa limeisha mda wake bado katika wilaya ya Temeke chanjo ya polio Surua na Rubella itaendelea kutolewa katika vituo vyetu vya Afya.

Pia amesema kampeni hii ilifanyika kwa utaratibu wa watoto wote wenye umri chini ya miaka 5 kupewa chanjo, sababu za kutoa chanjo hizi ni kuwa kuna uthibitisho wa kitaalamu kwamba asilimia 85 tu ya watoto wanaopata chanjo ya surua wakati wanapotimiza miezi 9 wanapata kinga kikamilifu,kuna watoto ambao hawajapata kabisa huduma ya chanjo na kuna vituo ambavyo havijafikia lengo la kuwachanja watoto kwa 100% na mlundikano wa watoto hawa wasio na kinga kila baada ya miaka 3 hadi 4 huweza kusababisha milipuko ya Surua.

Tafiti zilizofanyika nchini zinaonyesha kuwa ugonjwa wa Rubella upo na umeathiri watoto wengi wanaozaliwa na pia unaleta madhara ya kudumu kwa watoto hawa.

Aidha lengo mahususi la kampeni hii ya Kitaifa ni kuzuia na kupambana na magonjwa yanayozuilika kwa kutoa chanjo kwa watoto wote wenye umri chini ya miaka 5, kampeni imelenga kuongeza kinga kwa watoto wote kwa kuwapatia chanjo hata kama walishapata chanjo katika utaratibu wa kawaida na magonjwa yaliyolengwa kwenye kampeni hii ni Surua, Rubella na Polio.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh Felix Lyaniva amewashukuru wananchi na wetendaji katika ngazi zote kwa kutekeleza zoezi hilo la Kitaifa  kwa ufasaha na kupelekea kuvuka lengo hivyo akahimiza kuendelea kutimiza wajibu wa kamati ya afya ya msingi ya Wilaya kwa kuhamasisha, kutoa taarifa sahihi, kuelimisha jamii na kuhabarisha Umma.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke