• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TEMEKE YAANZA VIZURI MASHINDANO YA SHEMISEMITA

Posted on: October 23rd, 2022

Timu ya manispaa ya Temeke imeanza vyema mashindano ya  Shirikisho la Michezo ya Serikali za Mitaa Tanzania(SHIMISEMITA)baada  ya kuichapa bila huruma timu ya halmashauri ya wilaya ya Chelinze kwa mabao 2-0, mchezo uliochezwa katika uwanja wa shule ya Sekondari Morogoro leo Oktoba 23,2022.

Mchezo huo wa kundi B ni wa kwanza kwa timu zote ulikuwa ni wa upinzani mkali  lakini mpaka kipyenga cha mwisho kinapulizwa manispaa ya Temeke ikafanikiwa kukusanya alama tatu muhimu kwa magoli yaliyofungwa na mchezaji hatari Hamisi Shedafa.

Akizungumza mara baada ya mechi hiyo mwalimu wa timu ya Temeke Abel Tweve amesema baada ya ushindi wa leo wanajipanga kwa ajili ya mechi inayofuata dhidi ya halmashauri ya wilaya ya Chunya na kuahidi ushindi ili waweze kwenda hatua inayofuata huku akibainisha mbinu aliyotumia kupata ushindi huo.

" Tulichokifanya tumeweka wachezaji wengi katikati na kumiliki mpira tukatengeneza nafasi  tunashukuru tukafunga, kwahyo safari imeshaanza na tunaendelea kuwaahidi wana Temeke kuchukua ubingwa, wajiandae kuja kutupokea na kombe letu". Alisema mwalimu Tweve

Kwa upande wake kaimu mkuu wa Kitendo cha Utamaduni, Sanaa na Michezo manispaa ya Temeke Bi. Sauda Salum amesema timu yao imekuja kushindana wala si kushiriki.

"Tunaahidi kuendeleza ushindi na kujizoelea alama muhimu zitakazotuwezesha kwenda hatua inayofuata, tumekuja kujituma na kushindana na tunaahidi tutarudisha ushindi nyumbani". Alisema Bi Sauda.

Mashindano haya ya SHIMISEMITA yanaendelea katika viwanja mbalimbali hapa  Morogoro ambapo michezo yote bado ipo kwenye hatua za makundi na timu za halmashauri za Wilaya na Manispaa zimeonesha ushindani mkubwa na  kufanya vizuri ili kuweza kuibuka mabingwa wa mashindano haya.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke