• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TEMEKE YAENDELEA KUIMARISHA UWEZESHAJI WA KIUCHUMI KWA WANAWAKE

Posted on: August 16th, 2025

Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Wilaya ya Temeke Bi. Johari Mkonde kwa kushirikiana na Azania Bank na Idara ya Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Temeke leo Agosti 16, 2025 ameongoza Semina Wezeshi kwa Wanawake Wilayani Temeke iliyolenga kuwapatia elimu ya fedha Wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi.


Katika Semina hiyo Wanawake wamepatiwa elimu stahiki ya Mikopo kutoka kwa Wataalamu ili waweze kuhimili changamoto zinatokana na shughuli za kiuchumi na biashara wanazodhamiria kuzianzisha baada ya kupatiwa mikopo hiyo.


Mwezeshaji kutoka Azania Bank Ndg.Kelvin Patrick amesisitiza umuhimu wa kutumia Mikopo kwa malengo huku akiweka Mkazo wa kujiwekea Akiba ya fedha Benki ili kuepukana na majanga yanayoweza kuathiri akiba hizo endapo zitahifadhiwa sehemu zisizo rasmi jambo linaloweza pelekea kumuweka Mwanamke katika hali mbaya ya kiuchumi.


Ndg. Kelvin ametumia wakati huo kuwakaribisha Wanawake na Makundi maalum wasisite kwenda Benki na Taasisi mbalimbali za kifedha ili kuweza kujifunza Masuala ya fedha kwakuwa elimu hiyo hutolewa bila malipo yoyote.


Nae Afisa Maendeleo Manispaa ya Temeke Bi. Mwanahuba Major amewaasa wanawake kutumia vizuri mikopo ya Asilimia 10 iliyotolewa na Manispaa ya Temeke kwa Kundi la Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu na kuwataka kuchangamikia fursa za mikopo hiyo kwani haina Riba yoyote na Marejesho yake ni ya muda mrefu zaidi.


Semina hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Chuo cha DUCE Wilayani Temeke.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • NINA IMANI KUBWA SANA JUU YENU- MD SATURA AWAFUNGUKIA WANAMICHEZO TEMEKE

    August 23, 2025
  • MICHEZO IKATUMIKE KUHAMASISHA UCHAGUZI MKUU 2025-MHE KATIMBA

    August 23, 2025
  • DKT. MACHELA AZINDUA KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA KATA YA AZIMIO

    August 23, 2025
  • ACP MCHOME AONGOZA KIKAO CHA MTAKUWWA

    August 22, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke