• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TEMEKE YATINGA ROBO FAINALI SHIMISEMITA

Posted on: October 25th, 2022

 TEMEKE YATINGA ROBO FAINALI SHIMISEMITA MOROGORO

Na; Nassoro Rashid  TMC Habari  Morogoro

Temeke imeendelea kutetema leo Oktoba 25, 2022 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa kuichapa bao 3-0 timu ya halmashauri ya wilaya ya Chunya majira ya saa 10:30 jioni katika muendelezo wa mechi za kundi B na kujinyakulia alama 3 zinazowapeleka hatua ya robo fainali baada ya kufikisha jumla ya alama 9 katika michezo yote.

Huu ni muendelezo wa mchezo wa asubuhi waliocheza dhidi ya halmashauri ya Ikungi na kuibuka na ushindi wa 3-2 ambapo baada ya matokeo ya leo wanasubiri hatua ya robo fainali watapangwa na timu ipi.

Aidha magoli yote 3 yalifungwa na  wachezaji tofauti, ambapo mfungaji wa goli la kwanza alikuwa ni  Musa Himapanda, wakati goli la pili na la tatu likifungwa na Hamisi Shedafa ambaye ameendelea kuwa tishio katika kuzitikisa nyavu kwa kufunga jumla ya magoli 4 katika michezo yote.

Naye mwalimu wa timu kocha Abel Mtweve amesema wachezaji wana  afya njema na wana ari kubwa ili kutimiza lengo la kufika fainali na kuchukua kombe.

"Timu tumeiandaa vizuri na sisi tumejiandaa kufika fainali na maandalizi tuliyoyafanya kuingia katika mashindano haya tutaendelea kuyawekea nguvu kwa  hatua inayofuata, tunapoelekea ni mechi moja ya mtoano kwahiyo tunaweka mikakati ya kujiandaa kwa kucheza mechi moja ili tuyafikie malengo yetu"

Kadhalika Mwenyekiti wa timu hiyo Ndugu Hija Kipeleka amesema mpaka sasa timu imeendelea kufanya vizuri kwa kufikisha alama za kucheza robo fainali huku akiwataka wana Temeke kuendelea kuwaunga mkono na kuwaombea dua.

"Temeke tumekuwa kivutio kikubwa sana kila halmashauri inataka kuiona Temeke, hivyo kwa msingi huo tutapambana kuendelea kufanya vizuri ili kurudi na kombe nyumbani, wachezaji bado wanayakumbuka maneno ya hamasa kutoka kwa Mstahiki Meya, Mkurugenzi pamoja na Afisa Utumishi na wanaahidi kuyafanyia kazi"

Mfululizo wa ushindi huu unaendelea kuitangaza na kuiweka Temeke katika ramani nzuri ya michezo huku ikionesha kujipatia mashabiki wengi kwa kuonesha kandanda safi na kiasi gani wamejiandaa kuwa mabingwa wa mashindano haya ya SHIMISEMITA.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke