• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TUKO TAYARI KUHAMIA STENDI YA KIJICHI-WADAU WA USAFIRISHAJI TEMEKE

Posted on: October 13th, 2022

"Hakika kwa stendi hii tuko tayari kuhamia Kijichi hata kesho" ni kauli iliyokuwa ikisikika na kila Mdau wa Usafirishaji wa Mabasi Yaendao Mikoani aliyekuja katika Kikao cha Maazimio ya Pamoja kilichofanyika leo Oktoba 13, 2022 kwenye ukumbi uliopo katika Soko la Kimkakati la Kijichi lililopo Manispaa  ya Temeke.

Aidha kikao hicho kilichohudhuriwa na Mtendaji wa Kata, Mwenyekiti wa Mtaa na Soko la Kijichi, Wadau wa Usafirishaji na Wawakilishi wa Tiketi Mtandao kampuni ya OTTAP kikiwa na lengo la kuweka mikakati ya pamoja baina ya Mkurugenzi wa Manispaa, Mkuu wa Wilaya na Wadau hao juu ya kuhamishia Stendi katika Soko la Kijichi ifikapo Oktoba 17, 2022.

Akizungumza mara baada ya kikao hicho mtendaji wa kata ya Kijichi Bi Nyambura Kitwala amesema Serikali itaendelea kuwapa ushirikiano mkubwa katika stendi hiyo kwa kuhakikisha ulinzi na usalama unakuwepo wakati wote kwa ajili ya abiria na mali zao.

"Leo wadau mmefika katika stendi hii mmejionea jinsi mazingira yake ni safi, eneo kubwa, nimewasikia hapa mkisema mmeipenda Stendi hii, tunaendelea kuwahikikishia kuwapa ushirikiano. Na kwa wale abiria mtakao wakatia tiketi za tarehe 17 muwaambie kuwa watapandia stendi ya Kijichi". Alisema Bi Nyambura.

Naye mwenyekiti wa UWASAKUTA ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa kikao hicho Ndugu Musa Mombo amesema Mawakala na Makarani pamoja na Wadau wengine wa Usafirishaji wako pamoja na viongozi wa Temeke, na wamekukubali kuhamia Kijichi.

"Tutawaunga mkono mwanzo mwisho, tayari Mawakala pamoja na Makarani wamepokea tamko hilo kwa dhati ya nafsi, na wote tarehe 17 watakuwa hapa, tumefurahi kupita kiasi, hakika tunatoa kongole kwa Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Manispaa kutuhamishia hapa"

Kikao hicho cha Wadau wa Usafirishaji ni ishara ya muitikio chanya wa kundi hilo wa kuunga mkono jitihada za Viongozi wa Temeke huhakikisha kwamba  shughuli zote za usafirishaji zinazohusisha mabasi yanayokwenda nje ya Mkoa wa Dar es Salaam yanayoanzia  Temeke Sudani na Mbagala yanahamia Stendi Mpya ya Kijichi..

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke