• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TUMELETWA SEHEMU SALAMA-WADAU WA USAFIRISHAJI TEMEKE

Posted on: October 21st, 2022

Na; Francisca Mselemu  TMC Habari.

Hii ni kauli ya mmoja wa Wadau wa Usafirishaji anayejulikana kwa jina la Salum Selemani maarufu kama Mpemba,aliyoitoa Leo Oktoba 21,2022 wakati akihojiwa na mtangazaji wa TBC katika kipindi mubashara cha  Jambo Tanzania.

Akizungumza katika mahojiano hayo mdau huyo amesema kuwa  stendi ya Kijichi ni stendi bora,na kwamba yeye kama mdau wa Usafirishaji wa miaka mingi  anaishukuru Manispaa ya Temeke kwa kuwapeleka katika eneo hilo ambalo mazingira yake ni salama na bora.

"Katika stendi bora,ya kwanza Mbezi,ya pili Kijichi,Mimi nina miaka 30 kwenye kazi za  magari,nimekaa Kisutu,nimekaa Ubungo,nimekaa Mbagala.

Stendi ya Kijichi ina mapungufu machache tu, ambayo tunaamini Serikali ikiweka mkono wake, itakuwa ni stendi bora". Alisema Salum .

Akijibu kuhusu mipango ya Manispaa katika kutatua changamoto hizo,meneja wa TARURA wilaya ya Temeke  mhandisi Paul Mhere amesema

"Stendi imeanza kutumika, zipo changamoto mbalimbali zilizojitokeza, kama  ufinyu wa Barbara n.k.

Mkandarasi ameshapatikana,tayari kwa ajili ya kufanya upanuzi wa barabara,hususani katika maeneo yenye kona ii magari yaweze kukata kona kwa urahisi,kuweka zege katika eneo la maegesho pamoja na kuweka matuta ,ambapo kiasi cha shilingi 1.793 zitatumika katika maboresho hayo.

Naye mwenyekiti wa kamati ya stendi hiyo ndugu Mkana Mohamed Mkana ameeleza juu ya mapokezi ya stendi hiyo ambapo amesema kuwa Wananchi wamefurahia kupata huduma ya stendi  katika eneo  la Manispaa kwani kwa miaka mingi wamekuwa wakitumia stendi za watu binafsi ambazo mazingira yake sio bora kama yalivyo ya Stendi ya Kijichi.

Stendi ya Kijichi imeanza kutumika Oktoba 17,2022.Kuanza kwa stendi hiyo kunakwenda sambamba  na  kukoma kwa matumizi ya stendi zote zilizokuwa zikitumika awali ambazo ni Stendi za Mbagala Rangitatu na ile ya Sudani.Hivyo Serikali ya Temeke inatoa Rai kwa Wananchi wote wanaosafiri kwenda Mikoa ya Kusini na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Pwani,kuunga mkono juhudi za Serikali ambayo hadi sasa imeshawekeza fedha nyingi katika stendi ya Kijichi ,kwa kuitumia Stendi hiyo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke