• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TUNATAKA TEMEKE SAFI INAYONG'ARA-DC MATINYI

Posted on: September 13th, 2023

Na: Joanita Joseph


Katika muendelezo wa wiki ya usafi, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mhe.Mobhare Matinyi leo Septemba 13, 2023 ameungana na wananchi kufanya usafi katika masoko makubwa wilayani humo.


Akiongea katika mkutano wa hadhara na wafanyabiashara wa soko la Kisewe, lililopo kata ya Chamazi, Mhe Matinyi amesema kuwa zoezi la usafi linapaswa kuwa endelevu na kila mtu awajibike kwa manufaa ya kiafya na kimazingira kwa ujumla.


"Mwaka wa fedha uliopita Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliipatia wilaya ya Temeke Tshs Bilioni 152 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo hospitali, shule, maji, umeme, masoko na barabara hivyo moja ya jukumu kubwa kwa sisi wananchi ni kuhakikisha tunaitunza kwa usafi, tunataka kuwa na Temeke safi inayong'ara" Alisema Mhe. Matinyi


Aidha wafanyabiashara katika soko hilo wametumia nafasi hiyo kuwasilisha changamoto zao ikiwemo barabara, mifereji pamoja na uboreshaji wa miundombinu ukizingatia kuwa soko hilo ni soko la tatu kufanikisha upatikanaji wa mapato wilayani humo.


Hata hivyo Mhe Matinyi amewahakikishia kuwa serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa ujenzi wa barabara ikiwemo mifereji kwa awamu ya pili chini ya wakala wa barabara za mijini na vijijini (TARURA).


Vilevile alibainisha kuwa Manispaa Temeke ina idadi ya masoko takribani 27 yanayoendelea kuboreshwa, hivyo utawekwa utaratibu mzuri na soko hilo liingie kwenye mpango wa kuboreshwa kwani ni kweli limekuwa tegemezi kubwa kwenye mapato katika manispaa hiyo.


Kwa upande wake Mhe. John Gama, diwani wa kata ya Chamazi amemshukuru Mkuu wa wilaya kwa ujio huo na ametumia nafasi hiyo kumshukuru Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuboresha sekta ya afya katani humo ikiwemo upatikanaji wa kituo cha afya Mkondogwa, Jengo la mama na mtoto na upasuaji kwa zahanati ya Mbande.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke