• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"TUTAHAKIKISHA ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI TUNALITENDEA HAKI NA KUKAMILISHA KWA WAKATI" MD MABELYA.

Posted on: March 4th, 2022

Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Temeke ndugu Elihuruma Mabelya ameongoza kikao cha Madiwani na wenyeviti  wa Mitaa kilicholenga kuwahamasisha Viongozi hao kusimamia vema zoezi la ukusanyaji wa taarifa za Wananchi katika mitaa yao.

Kikao hicho kilichofanyika Machi 4,2022 katika ukumbi wa Manispaa (Iddi Nyundo), ambapo Mabelya amewataka wenyeviti wa Mitaa na Madiwani kushirikiana kwa pamoja kuunga mkono juhudi za Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Katika kukamilisha kwa haraka na ufanisi zoezi hilo.

"Maelekezo ya Serikali ni kwamba zoezi hili likamilike kwa wakati, kwa hiyo sisi kama Viongozi tumeona tukae kikao ili tuwakumbushe na kuwajenga wenyeviti wa Mitaa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana kukamilisha zoezi hili"Alisema Mabelya

Aidha Mabelya ametoa wito kwa Viongozi hao kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao ili kufanikisha zoezi hilo Kwa ufanisi.

Kwa upande wake naibu meya Mhe. Anold Peter  ametoa pongezi kwa Mkurugenzi na timu ya wataalamu wa mfumo huo kwa kupeleka zoezi hilo kwa Wananchi, jambo ambalo litasaidia kujenga uelewa wao, na kufanikisha zoezi hilo kwa wakati.

Nae mwenyekiti wa kamati ya Anuani za Makazi na Postikodi Bi Veronica Igoko ameeleza kuwa wameona vema kukaa kikao na wenyeviti wa Mitaa ili kuwajenga na kuwahamasisha wasimamie vizuri zoezi hilo kama alivyoagiza Mhe. Rais.

Zoezi la ukusanyaji taarifa za Wananchi ni jukumu la kila mmoja, hivyo ni vema kushirikiana kwa pamoja kukamilisha zoezi hilo kwani ni chachu ya maendeleo hususani kwa Jamii na Taifa kwa ujumla.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke