• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Ukaguzi wa ujenzi wa madarasa 120 Manispaa ya Temeke

Posted on: January 19th, 2020

DC  LYANIVA AWATAKA WALIOPEWA TENDA YA  UJENZI WA MADARASA MANISPAA YA TEMEKE KUKAMILISHA KWA  WAKATI.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Felix Lyaniva amewataka waliopewa tenda ya ujenzi wa madarasa katika Shule za Sekondari Manispaa ya Temeke kujenga usiku na mchana ili itakapofika tarehe 13 /02/2019 madarasa hayo yawe tayari kwa Matumizi.

Ameyasema hayo wakati alipotembelea shule mbalimbali za Sekondari ambazo madarasa hayo yanajengwa katika Manispaa hiyo Jijini Dar es Salaam.


Katika picha ni mwonekano wa Ujenzi wa madarasa unaoendelea katika shule za Sekondari Manispaa ya Temeke.

Mkuu wa Wilaya katika ziara yake aliambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Temeke Bi Bupe Mwakibete na baadhi ya wataalamu kutoka Manispaa, akiwa katika ziara hiyo alikagua ujenzi wa Madarasa 120 ambayo yanajengwa kwa lengo la kutatua changamoto za wanafunzi kukosa vyumba ya madarasa  kutokana na ongezeko kubwa la wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza Mwaka huu 2020.

Mhe Mkuu wa Wilaya aliagiza kwa kila mtumishi aliyepewa jukumu la kusimamia katika miradi hiyo ya Ujenzi wa Madarasa kuhakikisha anatimiza wajibu wake hategemei kutembelea site asimkute msimamizi au anakuta hakuna kinachofanyika anatamani kuona zoezi hilo linafanyika kwa haraka lakini kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu.

"Zingatieni miongozo ya Ujenzi ya TAMISEMI  kama maelekezo yanataka ujenzi wa Darasa usizidi milioni ishirini fanyeni hivyo" alisema Mh Lyaniva.


Mkuu wa Wilaya Mhe Felix Lyaniva akitoa maelekezo katika moja ya site ya ujenzi wa madarasa alipozuru wakati ziara yake.

Aidha Mkuu wa Wilaya ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi huo wa madarasa unaoendelea katika shule za Sekondari ambazo ni  Miburani,Kibasila,Taifa,Minazini,Kijichi, Changanyikeni,Mikwambe,Malela,Toangoma,Chamanzi, Charambe, Kingugi na Mbagala Sekondari ,  

Kwa ujumla ujenzi wa madarasa katika shule mbalimbali upo katika hatua ya msingi na baadhi ya shule katika linta mfano Ujenzi wa Maktaba na Madarasa matatu shule ya Sekondari Mikwambi.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke