• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

UONGOZI WILAYA YA TEMEKE WAPOKEA MRADI WA MASUALA YA KIJINSIA KUTOKA UN WOMEN

Posted on: November 22nd, 2023

Na: Sweetbetter Njige -TMC Habari


Menejimenti ya halmashauri ya Manispaa ya Temeke leo Novemba 22, 2023 wakiongozwa na Mkuu wa wilaya Mhe. Sixtus Mapunda, pamoja na viongozi wa dini na taasisi mbalimbali za kijamii wamepokea mradi wa masuala ya kijinsia unaoendeshwa na taasisi ya UN Women utakaowezesha ushiriki wa wanawake na wasichana katika Uongozi na uchumi.


Sambamba na hilo Menejimenti wamepatiwa mafunzo Kutoka kwa wataalamu wa taasisi hiyo yanayolenga kujenga uelewa juu ya masuala ya kijinsia.


Akizungumza katika mafunzo hayo Mhe. Mapunda amesema ni muhimu jamii kutambua changamoto wanazokutana nazo wanawake ili kutambua namna sahihi ya kuwasaidia kufikia malengo yao hususani ya kiuongozi na kiuchumi


" 'Leadership' kwa mwanamke ni ngumu sana ukilinganisha na uhalisia uliopo (mifumo dume) anahitaji kushikwa mkono na kupewa nguvu muda mwingine kwa kupata tu mtu anayewaambia "unaweza" tunatambua wanawake ni viongozi wazuri lakini vipi kama huku nyuma walipitia mambo yatakayoharibu maisha yao kwa ujumla kutokana na jamii kukosa elimu kama hii" alisema Mhe. Mapunda


Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa Mhe. Abdallah Mtinika ameipongeza taasisi ya UN Women kwa kazi kubwa wanayofanya kwa jamii na kuwahakikishia ushirikiano.


"Masuala ya jinsia ni mada muhimu kwa jamii, tunatakiwa kuyapa uzito, hata kama tutafanya miradi ya maendeleo bila kuwa na uelewa wa masuala ya kijinsia ikiwemo haki na wajibu itakua kazi bure. Niwaombe sana muendelee kutoa elimu inayofaa kwa jamii zetu" alisema Mstahiki Meya


Mradi wa Ushiriki wa wanawake na wasichana katika masuala ya uongozi na uchumi unaendeshwa katika mikoa sita Nchini na kwa mkoa wa  Dar es salaam unatekelezwa katika Wilaya tatu ikiwemo Temeke.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke