• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WAKILI SHIJA AWASISITIZA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI KUZINGATIA VIAPO VYAO

Posted on: October 26th, 2025

Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 Msimamizi wa Uchaguzi Manispaa ya Temeke Wakili Fortunata Shija leo Oktoba 26, 2025 amefungua Mafunzo ya Wasimamizi wa Uchaguzi yaliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha DUCE.


Wakili Shija amewaasa Wasimamizi  kuzingatia Viapo vyao wakati wa kutekeleza jukumu walilokabidhiwa na Serikali kupitia Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi akisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Msimamizi kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo mbalimbali inayotolewa na Tume ili kuhakikisha Zoezi zima la Uchaguzi linafanyika kwa amani na kumwezesha Mwananchi kutumia haki yake ya kupiga kura bila Kadhia yoyote.


Wakili Msomi Shija ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Temeke, Mbagala na Chamazi amefurahishwa na jinsi Wakufunzi wanavyoendesha Mafunzo hayo kwa kutoa ushirikiano stahiki kwa Washiriki wa Semina hiyo ambao ndiyo watakua Wasimamizi wa Mchakato mzima wa Upigaji Kura na hatimae kuzihesabu katika Vituo vya kupigia Kura.


Halkadhalika Wakili Shija ametoa wito kwa Wananchi kutumia haki yao Kikatiba na kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua Kiongozi wanaemtaka ambaye wanaamini kuwa ana uwezo wa kutatua Changamoto zinazokabili jamii yao na kuwaletea maendeleo endelevu kwenye familia zao na Taifa kwa ujumla.


Bado Siku 3 tu kufikia Oktoba 29, 2025

Kura yako Haki yako Jitokeze Kupiga Kura.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAAFISA BAJETI WA IDARA NA VITENGO WANOLEWA JUU YA UANDAAJI WA MIPANGO NA BAJETI

    November 27, 2025
  • MAAFISA BAJETI WAENDELEA NA MAFUNZO KWA VITENDO

    November 28, 2025
  • ZOEZI LA USAFI WA MWISHO WA MWEZI, VINARA WA USAFI WAPATIWA ZAWADI

    November 29, 2025
  • WAWAKILISHI KUTOKA WORLD BANK NA TIMU YA UTEKELEZAJI YA MRADI WA DMDP II WAFANYA MKUTANO WA PAMOJA

    November 25, 2025
  • Angalia zote

Video

TEMEKE YAWEZEKEZA BILIONI 35 SEKTA YA ELIMU PEKEE MWAKA WA FEDHA 2025/26
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke