• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

ZAIDI YA HATI MILIKI 170 ZAKABIDHIWA KWA WANANCHI TEMEKE

Posted on: September 22nd, 2023

Na: Joanita Joseph -TMC


Ikiwa ni muendelezo wa programu ya Ardhi Clinic (Hati papo hapo) chini ya mradi wa uboreshaji usalama wa Milki za ardhi Nchini unaofadhiliwa na Benki ya dunia na kutekelezwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba Maendeleo ya Makazi, zaidi ya wananchi 170 wamefanikiwa kupata hati miliki zilishoghughulikiwa chini ya programu hiyo mara baada ya kuzinduliwa Septemba 20, 2023 Mbagala wilayani Temeke.


Akizungumza kwenye mahojiano mafupi mwakilishi wa Mradi huo Bi.Aisha Masanja

amesema kuwa vigezo vya kupata hati ni rahisi na mpaka sasa miamala zaidi ya 200 imepokelewa, kati ya hiyo imeshalipiwa na zaidi ya wananchi 170 wamekabidhiwa hati zao.


"Mwananchi anatakiwa kuwa na vielelezo vyake vya umiliki wa kiasili kama mikataba ya mauziano, kitambulisho ama namba ya NIDA na barua ya utambulisho kutoka serikali za mtaa, akija na hivyo vitu anaweza kuanzisha muamala wake, kufanya malipo na kupata hati" alisema Bi Aisha


Aidha amebainisha kuwa mradi una kipengele cha kupima kwa awamu ya pili hivyo kwa wananchi ambao bado maeneo yao hayajapimwa watafikiwa kwa awamu ya pili ikiwemo utoaji wa leseni za makazi.


Bi Aisha ametoa wito kwa wananchi kuendelea kujitokeza na kutumia fursa hii muhimu kwa ajili ya kuboreshewa milki za ardhi zao.


"Sisi ni Ardhi clinic, 'Matibabu site' ukifika hapa changamoto za urasimishaji tunatatua, tunakupa elimu ya masuala ya ardhi, pia tunatoa hati ndani ya muda mfupi sana lakini pia tumetatua migogoro takribani 30 na kutoa elimu hivyo tunahitaji mwamko mkubwa kwa wananchi" alisema Bi. Aisha.


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imejipanga kuboresha usalama wa Milki za ardhi kwa nchi zima ambapo kwa mtaa wa Mbagala mashariki zoezi hili la "Ardhi Clinic" litafikia tamati Jumamosi Septemba 23,2023.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke